UNABII HAUSIHI MPAKA UTIMIE
Jakaya amenikumbusha mbali sana enzi napenda kwenda uwanjani.
Alikuwepo akasikia Simba wamechukua Morrison. Hahaha akajibu, "Kama wamechukua Morrison, na nyie...
Pamekuwa na kelele kibao na lukuki kuhusu Ubora na Ukubwa wa Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini. Hata hivyo dhana hiyo imejengeka mno machoni pa watu kwa sababu ya Ufanisi wao wa...
Simba na Coastal union watashiriki kombe la Losers msimu ujao, kiufupi Simba na Coastal wako level moja sasa hivi. Azam wako level moja na Yanga.
Kwahiyo Simba wanatakiwa wakae na Coastal wapange...
Habari Wanazengo.
Kwenye Paragraphs kuna mstari unaitwa "bottom line" huo mstari katika paragraph yeyote ndio ubeba lengo la paragraph nzima.
Sasa Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama kwenye...
Sisi Simba ni timu ya mioyo yetu, hatufaidiki wala kunufaika na chochote zaidi ya furaha, watu wanasafiri kutoka Bukoba, Mbeya, Kigoma wengine wanatumia baiskeli kuja kuwasapoti nyie viongozi na...
Kuna Timu itegemee Msimu ujao ukianza tu Wachezaji wake wengi kuugua kwakuwa watarogana sana kwa kukufuru.
===
Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota...
Kocha wa Simba anayeondoka ametumia maneno yanayoshabihiana na yale ya Rage kuhusu Board Members wa Simba.
Ukweli ngumu kuuficha.
******
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Patrick Aussems 'Uchebe'...
Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa?
Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao.
Baada ya miaka...
Pamoja na mapenzi kwa timu yangu, ila mara kwa mara sijasita kuja na malalamiko dhidi ya uongozi wa Simba na moja ya maeneo yanayokera wengi yanahusiana na treatment ya wachezaji wake kuanzia wale...
... [emoji3541] 𝗧𝗨𝗪𝗘𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨 𝗦𝗔𝗪𝗔
Clatous Chama kaiacha simba SC sio kwamba Simba SC ndio imemuacha Chama.
[emoji3482] Pre-contact baina ya Chama na Yanga ilisainiwa tangu mwezi Mei na mimi...
Kwanza wamekuwa waongo waongo sana, hawaaminiki hata kidogo, kufitiniana kumekuwa kwingi sana, weledi ni mdogo sana katika uendeshaji wa timu, Jaribu Tena amejiuzulu uenyekiti na kubakia ujumbe wa...
Wakuu
Ligi ya Egypt inasifika kuwa namba moja Africa lakini kwa upuuzi wao na uhuni kila mwaka wanaofanya,
Kwanini isiitwe ya kihuni na kisela? Si afadhali hata ya huku Bongo wajameni? Hebu tuone...
Hayupo kuboresha kikosi bali kuweka hesabu sawa tu.
Anakusudia kupunguza mishahara mikubwa tu.
Mishahara ya m 12+ kama inatakwa itemwe yote.
Wakaanza na Miksoni, Chama, Sarry, Jobe, Kanute...
Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua...
Hizi inaweza kuwa taarifa kubwa zaidi hapa Tanzania kwenye dirisha hili Kubwa la Usajili 2024.
Taarifa za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai Paccome Zouzoua amepata offer kubwa kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.