Mkude ada ya usajili na mshahara milioni 300, kacheza mechi tatu msimu mzima.
Okra Milioni 300 kafunga goli moja.
Chama milioni 600
Sina hela lakini nina akili!
===
Pia soma: Klabu ya Yanga...
Kocha Talib Hilal amekaririwa na redio moja nchini akisema jana kuwa kocha mpya anayetarajiwa kuingia kandarasi na Simba Faldu David's hana uwezo na hawezi kuifikisha popote pale Simba.
Talib...
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Unabiii auishi mpaka utimie
Kocha mpya wa Simba simuoni akifikaa Januari 2025
Si kwa nia mbaya Benchika alienda na benchi lake kuuguza mkewe
Huyu ataondoka...
Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego.
Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa...
Simba inafanya mambo kienyeji, Ushawahi ona wapi timu ina sajili wachezaji zaidi ya wa 5 pasipokuwa na Kocha mkuu nina mashaka na perfomance yao msimu ujao"
Alex Ngereza Mchambuzi wa soka Tv3.
Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba...
Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu.
Walipoanza...
Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale.
Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu...
Draft linazingua kinyama ukiliacha kucheza muda mrefu ukirudi kucheza game na wazoefu utafungwa hata kama unalijuaga.. Sasa kitendo cha kutamani kufungua fumbua code za ushindi kinapelekea usiku...
Klabu ya Simba ya Tanzania imemtangaza rasmi Kocha wa zamani wa Orlando Pirates, Fadlu Davids (43) ambaye ameachana na nafasi yake ya Kocha Msaidizi wa Klabu ya Raja Casablanca kuja kuinoa miamba...
Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI...
Kama kuna Mtu wa kupewa pongezi kwa kukua Soka la bongo basi namba moja ni Mohammed Dewji Mo.
Alijitaidi kuisuka simba vizuri na kuitambulisha soka letu kimataifa
Baada ya mo Wafate akima Azam...
Tujikumbushe nchi zilizoshinda bid ya kuandaa mashindano ya AFCON 2027 ni TANZANIA, KENYA NA UGANDA lakini sisi hapa nyumbani tunaongea sana kuliko vitendo.
Nchi nyingine KENYA NA UGANDA wako...
LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu inayoshiriki ligi kuu nchini...
Nakumbuka nilitoa ushauri kama huu kabla Mudathir Yahya hajasajiriwa Jangwani.
Ukimtoa Triple C pale Msimbazi hakuna playmaker mwingine kitu kinachoifanya timu icheze mpira mgumu usioeleweka...
Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri,
Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd...
Naona wenzetu Simba wanasajili Kwa umakini.
Mbumbumbu wamejipanga sana
Ona Sasa wamemsajili dogo ambaye kwangu ndo mchezaji Bora mzawa Valentino Mashaka.
Nasikia kesho saa 7 watamtambulisha Najim...
Mliposti kwa madaha kuwa mmemsajili beki wa Coastal Union, mkamsifia kuwa ni beki la kazi, beki katili, sasa Lawi ameonekana kwenye camp huko akijiandaa kucheza Cecafa.
Wajibuni mashabiki...
Simba mpeni ukocha mkuu Juma Mgunda, timu yetu ya Simba siyo timu ya kufanya majaribio ya kuajiri kocha ambaye hajawi kuwa kocha mkuu wa timu yeyote.
Fadlu David's amekuwa kocha msaidizi wa kocha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.