Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
11 Reactions
348 Replies
15K Views
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
12 Reactions
47 Replies
2K Views
Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii...
41 Reactions
99 Replies
6K Views
https://x.com/FKihamu/status/1800621196662206811
5 Reactions
8 Replies
501 Views
MO AREJEA KITINI SIMBA SC Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametangaza kurejea kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba kufuatia ombi la Salim Abdallah Try Again aliyejiuzulu nafasi...
10 Reactions
72 Replies
3K Views
"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio...
13 Reactions
75 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Kumekuwa na hoja ya wadau mbalimbali wa michezo, wanachana wa Simba na wasio Simba. Watu wanataka kujua nini kinakwamisha mchakato wa transformation kukamilika pamoja na uhalali wa...
0 Reactions
6 Replies
583 Views
Inasikitisha sana inapofikia hatua mashabiki kwenda kumfanyia vitendo kama hivi kiongozi wa timu, tena Mzee Dalali ambaye uongozi wake alijitahidi sana. Mbaya zaidi, sababu yenyewe ya kumfanyia...
0 Reactions
3 Replies
282 Views
https://kangaroodds.blogspot.com/2020/10/2-sure-odds-betting-tips.html?m=1 2 odds Stake high 🏌️‍♂️💵💵💵💵💵💵💵💵
1 Reactions
3 Replies
2K Views
mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al...
6 Reactions
70 Replies
2K Views
Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa...
1 Reactions
12 Replies
913 Views
Wakuu bado Nina mashaka sana kama hii Euro itanoga maana hiki kituo huwa hakuna picha angavu kama za wenzetu dstv lakini pia kabla ya mechi tunaweza kosa uchambuzi uliotukuka wa mechi badala yake...
1 Reactions
2 Replies
699 Views
Klabu ya Manchester United imeamua kuendelea kubaki na Erik ten Hag na tayari mazungumzo ya mkataba mpya yameanza na Kocha huyo ambaye iliaminika atafukuzwa kazi kutokana na kufanya vibaya katika...
1 Reactions
1 Replies
556 Views
1. Kocha Benchika kutimuliwa rasmi Simba SC 2. Mwekezaji Mo Dewji kuchafua Hali ya Hewa kwa ama Kujiondoa Simba SC au Kuubadili Uongozi wa Bodi. 3. Mwenyekiti wa Bodi Simba Sports Club Limited...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
1. Mwekezaji ( Tajiri wa Kurithi ) Mo Dewji hajawekeza vilivyo Simba SC kama tunavyodanganyika kila Kukicha. 2. Simba SC ya sasa inaendeshwa Kienyeji na Kihuni huku Uweledi wa Kiutendaji...
14 Reactions
29 Replies
2K Views
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene Try...
47 Reactions
399 Replies
17K Views
Uongozi wa Azam FC umethibitisha rasmi kujiondoa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 ambayo inatarajiwa kuanza rasmi mnamo Julai 6 mpaka 22-2024 kwenye shindano litakalofanyika...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu 1; Hemed Moroco ametuheshimisha! Ilihitaji muda kidogo kumuelewa, alianza taratibu na sasa anatishia kibarua cha kocha Amrouche! 2; Stars wameshinda lakini bado Zambia wamecheza mpira bila...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Stars imeifunga Zambia ikiwa nyumbani kwake, narudia nyumbani kwake.Binafsi, sikuwa na shaka na uwezo wa makocha hao isipokuwa shaka yangu kubwa ilikuwa kwa wachezaji, kwamba wachezaji tuliokuwa...
4 Reactions
5 Replies
668 Views
Timu ya Taifa inacheza lakini cha kushangaza Televisheni ya taifa, TBC haina muda wa kuonyesha mchezo huu muhimu, Je kama kituo namba moja cha taifa hakina muda na timu ya taifa, sisi wananchi je...
3 Reactions
10 Replies
635 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…