Msimu unapo malizika basi timu zote ujipa tathimini ya msimu mzima ulioisha na kutazama wafanye nini katika msimu mpya.
Aidha katika eneno muhimu zaidi ni la usajili wa Wachezaji yupi asajiliwe...
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa,nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta ameliandikia barua shirikisho la soka nchini (TFF)ya kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania...
Well Gamondi and Yanga part away. it's over.
Yanga will have a new manager next season as tonight:
Gamondi refused a long term contract
Gamondi is still in contact with other big teams...
Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri.
Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu...
Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga.
Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya...
Kuna mgogoro unaendelea kwenye klabu kongwe ya Simba, kama unafuatilia vyombo vya habari na ukiwa mdau wa michezo hutashangaa! Kwenye mgogoro huu kuna makundi makuu mawili ambayo ni;
a)...
Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United
Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali...
Story hii ya CPA
CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
Wakuu kwema?
Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live?
Game ni saa 4:00
Ahsanta
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.
“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa...
KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba usiku huu. Huenda kufikia kesho yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try...
Dkt Hamis Kigwangalla, Mbunge na Mwanachama wa Simba, ameuomba uongozi mpya utakaoingia madarakani kwenye uchaguzi unaoendelea kwenye Club ya Simba , Uoneshe zilipo Bil 20 zilizowekwa na MO ...
“Nadhani kitu ghali zaidi nilichowahi kununua ni klabu ya mpira inaitwa Simba ina mashabiki milioni 35, niliinunua hii klabu miaka mitano iliyopita, nimepoteza takribani Dola za marekani milioni 4...
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika...
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni kuwa klabu hiyo imenunuliwa na mwekezaji Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’.
Mangungu amesema...
Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba.
Licha ya kutumia kiasi cha...
Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze...
This is Funny
Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa...