Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake...
Dahhhhhh dunian tamuu Sanaa
Namsikia redion mgunda l kocha anasemaa hakuna shidaa badoo tukoo kwenye nafasi ya kuchukua ubingwa wala atujakata tamaaa kha
Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa,
Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la...
Habari mwanajukwaa la michezo,
Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana.
Kwa...
Match Day
NBC Premier League
Mashujaa Vs Yanga
Lake Tanganyika Stadium
Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili.
.
Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu...
Huyu jamaa simjui wala hanijui ni moenzi wa makala zake ila makala iliyonigusa zaidi ni hii ya kuhusu kamari
URAIBU WA KUBETI UNAVYOWAMALIZA VIJANA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kama hujawahi kushiriki...
Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza?
Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe...
Mwamuzi wa ligi kuu ya nchini Uingereza, Jarred Gillett atakuwa mwamuzi wa kwanza wa Premier League kuvaa kamera ya video yenye kichwa wakati wa mchezo kati ya Crystal Palace na Manchester United...
Wewe ndio kocha kwenye timu yako, unatakiwa uchague mmoja kati ya Musiala au Bellingham kwenye kikosi cha kwanza unaenda na nani?
Jamal Musiala
Jude Bellingham
Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi.
Je, huu ni uungwana?
Kwanini...
Mwaka huu uwanja wa Benjamin Mkapa unatimiza miaka 17 toka kuzinduliwa kwake. Katika kipindi hicho chote uwanja umetumika kwa shughuli nyingi za soka, serikali na dini.
Moja ya eneo muhimu la...
Baada yakupandwa hasira na kuamua kuondoka nchini hivi karibuni na kurudi kwako, Habari za hivi punde ni kwamba yule kiungo mwenye mwendo wa bibi harusi, mwendo wa pole kama mdudu aina ya konokono...
Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata.
Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria...
USHAURI WA ALLY KAMWE KWA AHMED ALLY.
Shida ni kwamba .. Timu inaposhinda Msemaji unajimilikisha ushindi huo. Unatamba nao na kujipa kila aina ya majina kuonyesha kwamba Wewe ni KILA KITU kwenye...
Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa.
Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu...
All the Best Mnyama mkali.
Tukutane saa 10jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT)
Simba ya Dar es Salaam itashuka Dimbani, Uwanja wa Ziwa Tanganyika kuwavaa wenyeji wao Mashujaa FC.
Simba kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.