Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana.
my views kwa mzize
1. Mzize ni useless player in...
Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024
Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ.
Yanga...
After Napoli's spectacular year in the 2022-23 season, Inter Milan have reclaimed their golden sceptre and won a Serie A that they have dominated with an iron fist. No one has been able to even...
Salaam wakuu,
Makolo poleni na kipigo
Kila mtu Huwa na kile kinachomfanya aenjoy kwenye soka la hapa bongo na hivi Huwa havifanani from one person to another
Mfano: Mimi Huwa makolo wakikandwa...
[emoji599] BREAKING NEWS:
Taarifa zinaeleza kuwa klabu ya Yanga haita tumia dressing room za uwanja wa Mkapa baada ya kuikuta kwenye hali mbaya, ripoti zimefika kwa mratibu wa mchezo (coordinator)...
Muhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja.
Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana...
Huyu kocha hata mm nilimshangaa ana utoto kwanini alishinda 3 0 akawatoa watoto hao wawili. Akabanangwa 3 3 shukran kwa var iliyokataa hlgoli la 4 la adui. Jamaa anaaminika kumpa nafasi Antony...
Wakuu
Hii team ya walevi na wanywa wanzuki yaani inatia huruma
Mitandaoni mashabiki hawana Furaha kabisa yaani kila post admin atakayotoa basi wanampopoa tu jamani ..!
Kilichobaki ni admin...
"Kiukweli kama kuna Kitu ambacho nawapongeza wana Simba SC ni kuwa na Viongozi wazuri na Mimi nawaomba chonde chonde wala Wasiwabadilishe kwani hawa hawa Viongozi wao wataifikisha Simba SC katika...
Yanga inapaswa kufikiria kuachana na Kennedy Musonda.
Tokea aje hapa nchini, Musonda hajatoa kile kilichotegemewa kwa 100%. Ni mchezaji mzuri sana, lakini yapo yanayofikirisha juu yake.
Musonda...
Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili.
Leo 22/04/2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram...
Kwa Sisi wapenda Mchezo ( Watu wa Mpira ) wala hatuteseki, sasa tatizo kwa ile Mipenda Timu Kwanza na Mpira baadae. Unaumia kufungwa jana kwa Simba SC hadi kuwa na Usununu kwa kila Mtu utadhali...
Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi...
Nadhani tactics ni kama nyenzo inategemea unataka kufanya nini na una nyenzo ya aina gani kwa kufanya nini kama ukikosa Kisu unaweza kutumia msumeno - lakini hauwezi kutumia Kisu ili kukata miti...
Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake.
Kati ya watu niliwaonea huruma majuzi ni ndugu yangu huyu hatareee sanaaa.
Tuendelee kumwombea...
Kuna mstari mwembamba unaotenganisha mchezaji anayejua kukaba na mchezaji anayejituma.
Yanga husajili wachezaji wanaojua kucheza katika nafasi zao pia wanaojua kukaba yaani ikimsajili mchezaji...
Licha ya Manchester United kuongoza kwa magoli 3-0 hadi dakika ya 70 dhidi ya Timu ya Coventry City inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (Championship) lakini hadi dakika ya 90 zinakamilika matokeo...
1. Beki Israel Mwenda amekuwa mtu wa kufanya makosa sana lakini Benchika anaendelea kumvumilia
2.Inonga Baka amejivunja makusudi na sasa Simba imuachie akaangalie maisha mengine.
3. Che Malone...