Habari
Jana yanga imecheza na simba kama wanaofanya mazoezi,laiti yanga ingeamua kucheza mpira wake wa kila siku aisee aisee kwa makosa walikuwa wanaofanya simba jana simba ingefungwa tena goli 5...
Mike tyson mwenye umri wa miaka 57, na Jake Paul mwenye umri wa miaka 27, wameonesha nia ya kuingia ulingoni na kuzichapa.
Una maoni gani juu ya huu mpambano, nani unampa karata yako ya ushindi...
Tumepoteza mechi ya jana na hivyo kupunguza matumaini ya kuchukua ubingwa wa NBC, hilo haliondoi ukweli kuwa sisi ni Simba na maisha inatakiwa yaendelee.
Kuna ushauri ambao inatakiwa uzingatiwe...
Nyuma mwiko kwetu. Lazima alie mtu hapa. Kipigo cha Mbwa Mwizi anakipata hapa. Yaani akijitahidi sana kuzuia 3. Mbali na hapo ni mwendo wetu ule ule wa kutandika makofi tu. 5 kwa nunge.
Si...
Moja kwa moja niulize, Simba leo mbona hamlii na bahasha za Yanga?
Imekuwa kawaida msimu mzima kila Yanga akishinda mnasema katoa hongo, vipi wazee baada ya kipigo mna la kusema?
Mje mseme...
I have being watching him in several matches, factors hidering his performance
. Poor positioning
. too heavy (mzito)
. Poor Football intelligence ( he needs to attend class again )
How to...
Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali.
Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana...
Wakuu,
Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza!
Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu...
Mshindi wa kwanza hadi wa nne wa Beijing Half Marathon wamepokonywa medali zao baada ya uchunguzi kuthibitisha kuwa wakimbiaji watatu toka Afrika walikula njama na kumwacha raia wa China, He Jie...
Mimi ni Wilfred, mfanyabiashara kutoka Wilaya ya Temeke. Nilibeti TSh1,900 kwenye mechi 25 (24 kati yao zilikidhi masharti ya Bonasi ya Ushindi) na kushinda TSh25,417,020.10.
Ushindi wangu...
Try again. Mangungu na Imani first thing first Waanze kuondoka kabla ya J3.
Baada ya hapo iundwe management ya mpito na kisha kurudi kwenye drawing board .
Aidha iundwe tume ya UCHUNGUZI...
Mimi ni shabiki wa Simba kindaki ndaki lakini kwangu mimi natoa ushindi kwa Yanga Africans kwa asilimia 100%.
Yanga wana fitness, na vijana wana hari.
SIMBA inakata moto mapema sana ; Yanga...
FULL TIME: Yanga inafanikiwa kufuzu Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
89' Bakari Mwamnyeto anaingia anatoka Morrison
88' Wenyeji wanaonekana kama...
Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point...
Kila wakati Takwimu huwa zinasema tofauti na wana- Yanga wanavyoaminishwa na watu wao wanaowaamini. Juzi Kati hapa almanusra Manara awadanganye Yanga kwamba haijawahi kutokea Timu ya Tanzania...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafuatilia kwa karibu sana mchezo wa soka siku ya Jumamosi tarehe 20 Aprili 2024 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es...