Msije kusema sijawaambia, weka milioni 10 mpe Yanga ashinde ujishindie milion 20 za bure kabisaa.
Kumbuka Max Nzegeli ndio amebeba hirizi ya timu na ule uwezo utakaouonesha leo jueni ni ndumba...
AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE
Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili...
Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba...
1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili.
2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu...
Kusema kweli kama kuna vitu nimefikia kujidharau sana, basi ni kushabikia hizi timu nikiamini ni timu za soka.
Ukweli ninaanza kuuona katika timu hizi ni usanii wa kiwango cha juu. Timu zimekuwa...
Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa...
Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala...
Kuna mjadala unaendelea mitandaoni juu ya hali ya hamasa kuelekea mechi ya kesho.
Mashabiki wengi wa Simba pamoja na viongozi wao wanasema derby hii imepoa kwa sababu wao sio wenyeji na...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane...
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
Habari wakuu,
Leo kutakuwa na droo ya robo fainal ya ligi ya mabingwa ulaya.
Timu nane zimefuzu kwa ajili ya droo hiyo, ambazo ni;
Arsenal (England)
Atletico Madrid (Spain)
Barcelona (Spain)...
Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi...
Habari Mwanajukwaa.
Kesho Tarehe 20 siku ya Jumamosi kunaenda kupigwa Mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga Vs Simba.
Ila moja ya kitu ambacho hua kina staajabisha katika huu Mchezo ni Moja ya...
Habari Wana jf wote. Moja Kati ya washambuliaji bora wa wa Kati kwa Sasa ni Harry kane mshambuliaji anayeichezea Bayern Munich ya ujerumani katika bundesliga.
Kabla ya kujiunga na Bayern alikuwa...
Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza.
Nitajikita zaidi kwenye...
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii.
Katika mchezo huo, Mohamed Mkono...