Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo.
---
Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake
TUHUMA ZA RUSHWA KWENYE...
Hii mambo ya kuteuana ndio inaleta watu kama kina Try Again , Mangungu, imani Kajula watu ambao uwezo wao kwenye football management ni mdogo sana.
Hii itasababisha kila kocha ataonekana hafai...
Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa!
Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina...
Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️.
Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya...
Wakuu kama mlivyosikia ya kuwa confederation cup limefutwa, Je hawa ndugu zetu ubuntu botho/mikia fc/mbumbumbu fc walio nafasi ya tatu kwenye ligi je watashiriki kombe gan?
Nawasikitikia sana...
Huu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote...
Jana Viongozi wote wa Simba SC mlionekana Bunju Arena mkiwa na Sura za Upendo kwa Wachezaji huku kila Kiongozo aliyekuwepo katika Msafara ule akienda kwa kila Mchezaji na Kuwaonyesha Upendo na...
Simba sc wameweka kambi ya 4 Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga,waliwai kufanya ivyo dhidi ya Alhaly. Ikumbukwe Simba pre season ilifanyika Uturuki,tofauti...
Baada ya Kuiangalia Video Clip yako iliyowekwa na Gazeti la Mtandao wa Mwanaspoti (ulipokuwa unazungumza) huku Body Language yako ikielezea mengi na Sura yako ikiwa Kali isivyo kawaida na kama...
Presha inazidi kuwa kubwa kwa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ikidaiwa baadhi ya wachezaji wa klabu yake hawajafanya maamuzi ya mikataba mipya klabuni hapo wakisubiri kujua mwelekeo wa...
Mmiliki wa klabu ya Simba ndugu Mohamed Dewji amesema ya kwamba atazungumza na wanasimba instagram live ili wamueleze changamoto za klabu yao ikiwemo wachezaji gani wafukuzwe katika klabu ya...
Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦
Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat...
BOSTON MARATHON Tarehe 15 April 2024 tumeshuhudia mwanariadha wa ETHIOPIA Sisay Lemma akitimua mbio za pace ya juu kwanzia KM ya 7 mpaka 42 na kumbwaga ndugu yetu GABRIEL GEAY kwani hatukumuona...
Kuna dalili mbaya toka pre-season hadi jana kwenye Simba Day nimeshaaza kuziona zinazoashiria kuwa Simba inaenda kuwa na msimu mbaya sana.
1. Tukirudi nyuma mwishoni mwa msimu uliopita, kipa...
Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora...
Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu...
“Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally.
Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya...
Nilijua ni hadithi za kutunga Kama hadithi zingine zinavyotungwa lakini nilipata ukweli baada ya kufuatilia kiundani na kugundua kuwa ni habari za ukweli pasi na shaka kuwa
"Saidoo Ntibazonkiza...
Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo...
Baada ya klabu ya Singida Big Stars kutoa taarifa kuwa, mlinda mlango wake, Beno Kakolanya ametoroka kambini wakati timu ikikabiliwa na mchezo muhimu dhidi ya Yanga Sc, Beno amekanusha taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.