Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hili neno ndio limeshusha morali ya wana Simba kuanzia wachezaji paka mashabiki wao. Kuanzia kupangwa droo ya robo fainali klabu bingwa Afrika na kufahamika ya kwamba Yanga atapambana na Mamelodi...
2 Reactions
4 Replies
353 Views
Kablu ya Singida Fountain Gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao Beno Kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya Yanga. Singida wanakichukulia kitendo hicho...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga. Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Huu ndio ukweli Fred na jobe wanaigharimu sana timu, Najiuliza tu Hivi wanaosajiri hawakumuona elvis rupia?
1 Reactions
7 Replies
633 Views
Tumeshtuka huyu ni pandikizi lililowekwa na kiongozi mkubwa mmoja mstaafu ili aidukue Simba kwenye mechi zake na Yanga. Huyu mzee ni jeuri na haumizwi na matokeo ya Simba. Mwenzake "jaribu tena"...
1 Reactions
2 Replies
206 Views
Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji. Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
2 Reactions
2 Replies
509 Views
Naam! Magazeti na Redio havimuimbi kwa kuwa vimefunikwa na mahaba ya Simba na Yanga. Ila kwa wapenda football Kama NALIA NGWENA watakuja kutoa ushuhuda hapa kuwa Kipre Junior ni talented boy...
5 Reactions
90 Replies
4K Views
Kuelekea mchezo mkubwa wa Watani wa jadi (Kariakoo Derby) kati ya Yanga na Simba, bodi ya ligi imetangaza viingilio katika mchezo huo utakaochezwa 20/04/2024 katika dimba la Taifa Benjamini Mkapa...
1 Reactions
8 Replies
737 Views
Ukiwaangalia yanga Ligi kuu ni kama barca ile ya Moto kabisa. Ya richcard. Aziz ki anakuwa kama gaucho. Pakome ni inesta mtupu, Mzize ndio Eto, mwamnyeto Puyo. Akina nzegeli nddio usiseme...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
ROBERTINHO ANA ENJOY TU! Kufuatia draw walioipata Simba dhidi ya ihefu Jana robertinho aliyekuwa head coach wa 5imba amepost picha yake ikisindikizwa na Yanga anthem (Watoto wa Jangwani) Kupitia...
13 Reactions
64 Replies
2K Views
Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu...
7 Reactions
590 Replies
28K Views
Mwenendo mbovu wa timu ya Simba, sisi mashabiki ndio tunapata shida huku uraiani. Wachezaji wa simba zaidi ya 50%, wamechoka wako nje ya form; kwa kifupi wanajivuta kama konokono wawapo uwanjani...
0 Reactions
11 Replies
828 Views
Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible. Mfano mechi ya marudiano na Al Ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9? Mechi za ndani ugenini Kama ya Ihefu na...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Siyo Siri Tena usajili wa Jobe &Fred huu ni usajili wa mtu kati (wazee wa 10%) na siyo maagizo/mahitaji/matakwa ya kocha Bali ni wachezaji wa kikundi Cha viongozi pale Simba sc. Alichokifanya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ninajua wapo wengi wanaowaza kama mimi. Kuna tatizo pale Simba halijapatiwa ufumbuzi.Wachezaji kucheza chini ya kiwango,kutojitoa ama kuumia wakati muhimu wakihitajika sana na timu. Tumeona timu...
2 Reactions
10 Replies
719 Views
Wadau kero yangu ni kuhusu tiketi za VIP B zinakatwa kupitiliza idadi/uwezo wa jukwaa hivyo kupelekea mashabiki kusimama kwa kukosa nafasi. Kila ninapokuja hapa hasa zikicheza hizi timu kubwa...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Simsemi kwa ubayaaaaaa Mpwa huyu ajawahii kuwaacha makocha WA kigeni SALAMA kamweee Hii post ya 3 na kama SIMBA wanataka kudonga MBELE wasahauu MATOLA KWENYE bench Sioo kwa nia mbaya...
2 Reactions
17 Replies
816 Views
Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda...
1 Reactions
4 Replies
517 Views
Baada ya makolo fc "Ubuntu botho bin mbumbumbu" kupata sare katika mchezo wao wa Leo dhidi ya ihefu, hali ya sintofahamu imeibuka katika kambi ya timu hilo la mahayawani. Hili limekuja baada ya...
19 Reactions
63 Replies
2K Views
Back
Top Bottom