Kwa Hali ya mambo ilivyo ndani ya Simba hivi Sasa Kuna umuhimu wa kuwa na Kepteni mwenye sifa kama za Bocco.
Mohamed Hussein ni mkongwe ndiyo, Lakini sidhani Kama ana nguvu kubwa ya ushawishi kwa...
VIONGOZI WA SIMBA WANAONEANA AIBU
Moja ya Kitu Kinawagharimu SIMBA Ni Kushindwa Kufanya Maamuzi Magumu kwa Kuoneana Aibu, Kuangaliana Usoni.
NB..! Hawapo Klabu Bingwa, Hawapo Kombe la FA...
Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze.
Sasa...
Kuna Wapumbavu wanataka Kuwaangushieni Zigo la Mavi ( Nnya ) pale Timu ikifungwa basi Lawama zote zielekezwe Kwenu wakati GENTAMYCINE nina uhakika kuwa Adui namba moja wa Simba SC yetu ni...
Katika Hali isiyo ya kawaida mashabiki wa Yanga ... maarufu kama wananchi mtandaon wamefurahia timu yao kupigwa rungu la usajili ambapo ingekuwa timu nyingine wangeanza kilio
Hizi ni baadhi ya...
Nikiwa shabiki kindakindaki wa Simba, kwa mpira wa Yanga waliocheza Jana na Belouzedad na nikiangalia Simba wanavyocheza nadiriki kusema kuwa tano zingine zinatuhusu
Simba na Belouzedad hamna...
MASHABIKI WA SIMBA SC MKO WAPI?
Yanga wanaizungumzia Yanga na Simba wanaizungumzia Yanga.
WanaYanga wameonesha kuumizwa sana kwa Yanga yao kutolewa.
WanaSimba wanaonesha kufurahi sana na hata...
Mwenendo wa Timu hii kwa sasa hauridhishi , na kwa kweli ni kama wameamua kwa makusudi kutudhalilisha sisi mashabiki na wanachama wake .
Kila tunapopita tunachekwa na kunyooshewa vidole , huko...
Jerome Damon Refarii Mstaafu na Mkufunzi wa matumizi ya VAR wa FIFA, ameungana na maamuzi ya kulikataa goli la Yanga dhidi ya Mamelod sundown.
Damon amesema Kwa Sheria ya VAR kwanza kunakuwa na...
Habari wanamichezo wenzangu wa kabumba, sitaki poteza muda naomba TFF itoe maelezo kuhusiana na mchezaji wa Young African ambaye hakutimiza vigezo kwenye mfumo wa usajili.
Imtaje Nina kamili la...
Ije Mvua ije Jua iwe usiku iwe jioni na siku ileile 5imba yaenda kupigwa tena ila huenda zikapungua kiasi endapo watacheza kwa kujituma ingawa hawawezi kupenya ukuta mgumu walioshindwa masandawana...
Siyo Mimi
Mjumbe hauwawi
NB:
Miye ni mwanayanga ila Nina wasiwasi na hiyo tarehe 20 matokeo yanaweza kuwa kinyume
Yanga anaweza chezea parachute
Aahaaaa
Ihefu msiniangushe,zile tano...
“Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio...
Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali...
Binadamu tumeumbwa kusahau. Yanga ilipoifunga Simba msimu huu, Rais wa Yanga Hersi Said alienda kujitapa kwa Rais wa CAF na mmiliki wa Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe pamoja na Rais wa FIFA...
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu zao bado zipo palepale kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa bado kuna nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi.
Simba ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo...
Ni kama mzaha mzaha lakini ninaiona timu hii ikiwa chini sana na ikibaki premier ni kwa sababu za kisiasa tu ili utani wa yanga na simba usife.
Sote tuliona jinsi African Lyon ilivyokufa na...
Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla.
---
Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.