Tia neno kama unafatilia mapambano yanayoendelea
Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amefanikiwa kushinda pambano lake dhidi ya Harpreet Singh wa India kwa TKO baada ya kumalizika Raundi ya Tano...
Hayupo na hatakuwepo kwenye mechi baina ya singida foutain gate na yanga,kisa? malipo maana boss wa timu hayupo,yupo nje ya nchi.
---
Baada ya kuiongoza Singida Fountain Gate FC kwenye michezo...
Zilizotufikia....
Mayele ni mwekundu.
Viongozi wa simba wameua ndege wawili kwa jiwe moja,wameitumia safari ya Simba Misri kumsajili MAYELE.
unaambiwa Mayele katumiwa form ya usajili kwenye...
Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo".
Jina la uwanja huo ni...
Moja ya Viongozi Wasiokua na aibu mbele ya mashabiki pale Simba sc ni Try again na Mwenyekiti Mangungu.
Mangungu alishawahi kuwadanganya mashabiki kuwa Manzoki Tayali ameshamaluzana nae na kwenye...
Beki wa Simba Enoch Inonga anatarajia kuondoka Simba baada ya msimu kumalizika.
Japo Inonga ana mkataba mpaka 2025 ila ameomba kuondoka na ameshaanza mazungumzo na club yake wamuachie.
Pia beki...
"Nyuma Mwiko wamewapigia simu Azam Media na kuwaamuru wafute Interview ya Mayele na kuziondoa Clip zote zilipostiwa katika mitandao ya kijamii kitu ambacho kimeshafanyika"
Maoni Yangu: wanayanga...
Naam! Nitakua mnafiki Kama sijasifia kiwango Ibrahimu Bacca hakika huyu ni Beki na Aliyemuona Bacca na kumsajili Yanga Sc kwa kweli ana jicho la kuona talent naye anastahili sifa.
Bwana Mdogo...
Katika mechi ya Klabu bingwa Ulaya maarufu kama UEFA, iliyo chezwa leo tar 10/4/2024 Klabu ya Barcelona imeishangaza PSG Kama si Dunia Kwa ujumla.
Hii Inathibitishwa hata na wataalamu wa soka...
Nasikitika tu kuwa nitapokea Kipigo Kitakatifu kutoka hapa Jijin Kampala nchini Uganda niliko sasa na tayari niko katika Mchakato wa Kumtafuta Mrembo Mmoja wa Kiganda au Kinyankole au Mhima ili...
Kuna namna ambavyo viongozi wa Simba wameamua kuwachezea mashabiki wao. Simba ilivyoenda Misri, stori kubwa ilikuwa ni Mayele kuitembelea Simba mara Mayele kuongea kuelekea mechi dhidi ya Al Ahly...
Kituo cha Habari cha Azam TV kimefuta mahojiano waliyofanya na mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele katika kurasa zake zote za mitandao ya kijamii baada ya klabu ya Yanga kuripotiwa...
Hii timu ina mavichaa, ni hapo majuzi tu walitoka kuliporomoshea matusi mazito mazito shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF, kwa kile walichodai uonevu baada ya kulazimisha wapewe goli...
Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha...
Habari nilizonazo mpaka sasa afya ya Pacome imeimarika na atasafiri na kikosi kuelekea Mwanza. Lolote linaweza kutokea haswa mechi ya derby.
Yao Kwasi bado kuna uwezekano akaikosa mechi tatu...
(1) Goli la Azizi Ki lililoleta utata dhidi ya Mamelodi Fc
Simba sc walifungwa goli mbili na Al ahly lakini kutokana na goli la azizi K kuzungumziwa Africa nzima, mashabiki wa Simba sc nao...
Ndani ya misimu miwili tangu waajiriwe kuwa wasemaji wa klabu za Yanga na Simba.
𝗔𝗹𝗹𝘆 𝗞𝗮𝗺𝘄𝗲 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗦𝗖
◉ Ubingwa ligi kuu — [emoji471][emoji471]
◉ Ubingwa (FA) — [emoji471][emoji471]
◉ Ubingwa...
Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu.
Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.