luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
Kwa kweli kila nikivuta picha, naona tunaenda kukutana na gharika kuu, yaani naona tukipigwa goli kumi, zikipungua sana nane.
Sasa ili kuepukana na hili gharika, kwa kweli tuweke mpira kwapani...
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba:
1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza...
Eid fitriiii JF
leo ndiyo timu ya wananchi inashuka dimbani kuyaondoa machungu ya dhulma hivyo Nawaambia Dodoma na simba wasishangae vipigo watakavyokutana navyo.
NAWASILISHA
Ujio wa Kocha Benchikha katika Simba kipindi hiki unadhihirisha kuwa Simba ina jeuri ya pesa ya kumleta kocha au mchezaji yoyote inayemtaka kutoka ardhi hii ya Africa. Kama tumeweza kumleta kocha...
Maoni ya wadau
Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando
mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki...
Pichani ni mchezaji wa Cape Town spurs akimchezea rafu mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns Peter Shalulile nje ya box ambapo jambo lililostua wengi na kuzua taharuki ni kwamba mwamuzi wa mchezo huo...
Ndugu wana SSC, kama mnavyojua timu yetu pendwa imeshapoteana na mpaka sasa haijulikani mkwamo upo wapi.
Kuna changamoto kuu 4 hazina majibu !
1. Career development ya timu haipo, kama mnavoona...
Wakuu,kuna suala nimeliona kuanzia kwa mashabiki,wachambuzi na hata viongozi mbalimbali juu ya mechi ya Yanga vs Mamelods!
Lawama nimeona zikienda kwa refa wa kati kwa kuacha kwenda kuangalia VAR...
Waliokuwa wanadharau kufika robo fainali wamefika robo fainali kwa bahati na wametolewa KIUTU UZIMA wanabaki kulalamika.
Sasa ni wakati wa kulinganisha ni timu gani imefika mara nyingi robo...
Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani .
Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini...
“Kocha Rulani Mokwena alinifuata na kuniambia wewe ni mchezaji mkubwa sana na una kila sifa. Una nguvu na una umiliki mzuri wa mpira miguuni mwako,akanishauri niongeze uharaka eneo la ushambuliaji...
Kabla ya mechi za leo sisi mashabiki wa simba tuliambiwa hapa jf tuchague upande either yanga anakufa Kigali au laah. Ili rusionekane vigeugeu mbeleni, tukachagua upande wa wasudan
Leo baada wa...
Wakati wowote Simba itaanza kujifua kwenye uwanja wake ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam baada ya kukamilika kwa uwanja wa nyasi asili
Kwa sasa matengenezo ya vyumba vya...
Pia penati zinasaidia kupunguza mdomo. Mara oh, ni siyo goli, tena oh, barua iliyotumwa CAF ni ujinga ujinga. Kwa kweli Mashujaa asante sana. Mashujaa munajua kufunga watu MIDOMOO!!!
Sent from my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.