Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Maamuzi ya refa kukataa goli la Azizi ki yamezua gumzo sio Tanzania tu bali kwa mashabiki wote wa soka barani Afrika, yote kwa yote ili ni suala ambalo ubishi ulitakiwa kumalizwa na goal line...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Jul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango cha chini...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye mada. Kwa mambo na mwendelezo wa jaribu tena FC aka makolo,kocha Benchika ni vema ukajitenga na timu hii kwa faida yako. Timu ipo kiuswahili Swahili sana na...
11 Reactions
23 Replies
942 Views
1. Kibu Denis 2.Saido Ntibazonkiza 3. Chemalone 4. Henock Inonga 5. Onana 6. Zimbwe 7.Mzamiru Chama naye anaelekea huko.
13 Reactions
63 Replies
6K Views
Kimataifa inafahamika kuwa Robo ndiyo mwisho wa Mo Dewji FC, hii haina tofauti na mtoto kushangilia na kufanya sherehe kwa kuwa ameshika nafasi ya nne darasani miaka nne mfululuzo mtoto afanye...
1 Reactions
14 Replies
668 Views
Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia...
0 Reactions
6 Replies
616 Views
Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini Sasa ninachojiuliza...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Wakuu Kwa hizi porojo za meneja hapa kwetu ukoloni Kila siku ni porojo tuendelee kumkubali na kumuamini?? Hizi ni baadhi ya porojo zake "Simba ni timu ya maajabu tutakwenda kumkanda Al ahly kule...
2 Reactions
64 Replies
2K Views
Motsepe ametia aibu soka la Afrika. Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed. Afrika nzima inaandamana mtandaoni...
10 Reactions
79 Replies
4K Views
Baada ya kuangalia list ya wachezaji wa Yanga wanaopaswa kuachwa, leo tugeukie kwa majirani zao Simba. Hii ndio klabu ambayo ni Mabingwa wa Nchi, watatuwakilisha katika michuano ya Klabu Bingwa...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Nimeona bodi ya ligi imetoa ratiba ya mechi ya watani wa jadi kuwa itapigwa trh 20 mwezi huu! Ningependa nijue na kutunza pia risiti wale wachambuzi na mashabiki wa Simba watueleze vizuri Kama...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi. Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
1:Try Again "Tumedhamiria kufanya usajili wa nguvu utakao kirudisha kikosi chetu kwenye ubora wa juu msimu ujao na hilo linawezekana kutokana na malengo tuliyokuwa nayo ya kuifanya Simba kuwa...
0 Reactions
8 Replies
905 Views
Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns. Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka. Video...
16 Reactions
98 Replies
6K Views
Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa. Wakwanza ni Mia Griezmann alizaliwa April 8 ya mwaka 2016. Wa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mabingwa wa Nchi, Simba SC, baada ya kuwafurusha vilivyo Nkana FC kutoka nchni Zambia kwa mabao (4-3 ) kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, leo inaingia kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...
6 Reactions
211 Replies
26K Views
Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Rage alishawahi kuwabatiza jina ambalo sio busara kulitaja hapa 1. Team ilipigwa 5 November 2023 Ila wana simba masikini washashahau 2.kwenye mkutano waliletewa manzoki na kupewa ubwabwa na...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom