Pamoja na yanga kufanyiwa mtimanyongo kwenye goli la Aziz Ki,
Lazima tukubali kuwa timu zetu za Tanzania zina udhaifu mkubwa kwenye upigaji penati.
Inafika hatua, tukifika kwenye mikwaju ya...
Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl
Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa...
Tuliosoma physics tunasema Lile sio goli, kutokana na principal za physics...kama mpira ungezama wote possibility ya mpira kurudi uwanjani bila kugusa nyavu ni 0%
Najaribu kuwaza hawa waamuzi wanao chezesha michuano iliyo chini ya CAF wana matatizo gani ? ni kwamba hawana uelewa, wanafanya makusudi au kuna sheria za mpira ambazo zipo Africa kwingine hazipo...
Hili ndio swali ninalijiuliza huku nikizingatia uwekezaji wa gharama kubwa unaofanywa na vilabu plus wachezaji kuvuja jasho halafu kunakuwa na sheria/kanuni inayompa mtu mmoja anaeitwa mwamuzi...
Yanga SC watakuwa wageni wa Mamelodi Sundowns Ijumaa kuanzia Saa 3:00 usiku Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria.
Yanga inahitaji ushindi au sare ya mabao ili kwenda Nusu Fainali kufuatia...
Kila kundi limepeleka timu hatua ya nusu fainali klabu bingwa, kundi A limepeleka timu 2 (Tp mazembe na Mamelod) kundi C limepeleka timu 1 (Esperance) kundi D limepeleka (Aly Ahly) kwa maana iyo...
Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani.
Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa...
Yanga imeweka record mpya kwenye vitabu vya kumbu kumbu ndio timu pekee duniani iliyoshinda ndani ya dk 90 then ikatolewa kwenye matuta jumatatu nafikiri washabiki wote wa yanga watakua ofisi za...
Klabu ya Yanga imewasilisha malalamiko kwenda CAF kuhusu uwezekano wa makosa ya kiutawala na upangaji matokeo wakati wa mechi ya robo fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns iliyochezwa tarehe 05...
Habari Wanamichezo
Wote ni mashuhuda kwa sisi Wanamichezo tumemshuhudia Nabi katika kipindi chake namna alivyokuwa anaweza kuusoma mchezo na namna anavyoweza kubadilika uwanjani kwa kufanya super...
Kama umeangalia hii mechi hutakuwa na sababu za kuhoji kwa nini goli la Yanga lilikataliwa.
Katika mechi hii ya ASEC VS AS du Tunis, mchezaji wa ASEC (POKU, km sijakosea) kapiga penaliti na mpira...
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio...
YANGA mnachotaka kufanya ni Ushamba wa SOKA. Kama mmeshindwa kuifunga MAMELODI Uwanja wa Nyumbani kwa Mkapa mlidhani ni rahisi kuwafunga kwenye Uwanja wao?
Kama kila timu ilipewa Penalti 5...
Kutokana na mayowe yanayozidi humu jukwaani juu ya goli la Aziz Ki jana kukataliwa kule bondeni aiweke ili ndugu zetu wapungeze kelele. Kunya anye kuku tu ikiwa bata kaharisha.
Kagera Sugar nayo...
Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.