Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hongera sana TP Mazembe.
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali. Wameshindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri tena kuanzia mwanzo wa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club? Kwa upande wangu 1.mo afukuzwe...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
habari zenu. Klichotokea ijumaa wengi tulikiona kwenye TV na wengine ambao hawajacheki mpira wameona clip zikitembea kwenye kila social network duniani kote,mjadala mkubwa umekuwa kwanini yanga...
14 Reactions
16 Replies
1K Views
Yaani ni jambo la ajabu sana kukataaa goal la wazi km hili how yaani var ikatae hii ni aibu sana kwa rais wa caf matsope sijui na team yake ya mamelod yaani ni aibu kwenye mpira wa africa kabisa...
9 Reactions
200 Replies
8K Views
Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli...
21 Reactions
226 Replies
10K Views
Kwanza kabisa ni aibu kuandika Official letter kama ile tena kwa kuquote vifungu ambavyo ni irrelevant. Hivi what does it mean fixing a match ? Mnaweza kupigwa fine kupeleka tuhuma kama hizo...
15 Reactions
85 Replies
3K Views
Ukiwa na D mbili tu za form four utajua kuwa lile sio goli kwani sote tumeona uwanja uko flat hakuna mabonde wala nundu nundu. Katika hali ya kawaida mpira ungevuka goal line,ungedundia ndani ya...
4 Reactions
19 Replies
868 Views
Kitendo cha kufikia hatua ya kutoa tuhuma nzito kwa kutumia kipengele cha "Upangaji Matokeo" kuhusiana na mechi ya Mamelodi Sundowns vs Yanga kunanikumbusha siasa zetu za vyama vingi na jinsi...
2 Reactions
18 Replies
856 Views
Kumeibuka mabishano makubwa baada ya goli la Aziz Ki kuonekana halikuwa goli, hasira na ghadhabu za wanayanga ni za kiwango cha kimataifa, sijui ingekuwaje kama ngoma ingepigwa kwa Mkapa na...
0 Reactions
4 Replies
527 Views
Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance. Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na...
18 Reactions
55 Replies
3K Views
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeupangia tarehe mchezo namba 180 wa Ligi Kuu msimu wa 2023/2024 kati ya Club ya Yanga na Club ya Simba maarufu kama ‘Kariakoo Derby’, baada ya Club hizo...
2 Reactions
17 Replies
979 Views
Licha ya Ligi ta azam confederation cup kupata mdhamini mpya CRBD Bank na ligi kitambulika rasmi kama CRDB bank Federation Cup, Azam wamegoma kuitambua benk ya CRDB katika ligi hiyo! TFF ligi...
1 Reactions
2 Replies
515 Views
1. Al-ahly wanasafu nzuri ya ulinzi ukianzia kipa had walinzi wa kat. 2. Historia ya kulibeba kombe mara nyingi zaidi ni hamasa tosha kwa club hii. 3. Sina wasiwasi na safu yake ya ushambuliaj...
1 Reactions
4 Replies
305 Views
Habari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja. Sasa...
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi. Kwenye angle...
14 Reactions
118 Replies
7K Views
Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
3 Reactions
14 Replies
487 Views
Mnyama Simba SC Ijumaa ya leo atakuwa dimba la Cairo International akicheza mechi ya marudiano ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Katika mchezo wa kwanza Simba ilifungwa...
14 Reactions
820 Replies
28K Views
Back
Top Bottom