Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Straika wa zamani wa Brazil, Ronaldo Nazario De Lima ambaye pia amewahi kuchezea Klabu za Barcelona, Real Madrid, InterMilan, AC Milan ametaja kikosi chake bora cha muda wote wakiwemo Lionel...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa mpira huu ambao Yanga inacheza, mpira wa kufunguka na wa kujiachia. Nawatamani sana Mamelodi waje kufunguka pale kwa Mkapa katika Humidity ya 90 Degrees. Binafsi nadhani Mamelodi ni wepesi...
-1 Reactions
5 Replies
1K Views
“Kwa kifupi sina cha kusema kuhusu Yanga wamenizidi karibia kila eneo kwenye michezo yote miwili hilo napaswa kulikubali, lakini pia siwezi kuzungumzia kuhusu goli lao kama ni halali au sio halali...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Sio maneno yangu bali ya kocha wa Al ahly,msikilize hapa
1 Reactions
9 Replies
716 Views
THE IMPOSSIBLE CAN BE POSSIBLE yes is possible for Yanga. Yes hii inawezekana kabisa msishangae kumuona Yanga akitinga katika hatua ya Nusu fainal Caf Champion League, Record zinambeba Yanga...
7 Reactions
11 Replies
707 Views
Poleni sana Wana Yanga, natumai mmejifunza kitu kuhusu michuano hii ya @cafafrica. Bila kupepesa macho, mechi ya round ya pili ilipangwa iwe na matokeo ya upande mmoja. Utaona kwa namna ambavyo...
1 Reactions
5 Replies
613 Views
Ni jambo lililowazi kabisa TFF na bodi ya ligi wanataka kuhakikisha Simba inabeba ubingwa msimu huu. Upangaji wao wa ratiba unatia mashaka sana kwanini nimesema haya? 1) Raundi ya kwanza...
24 Reactions
66 Replies
3K Views
Usitukane Mamba wakati bado hujavuka mto. Yanga na kuibeza simba kwa kuiita Mwakarobo, sasa wao nao waianza safari ya Mwakarobo baada ya kuishia Robo Fainali.
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Jana mechi ya Morocco na RSA nimeshuhudia benchi la ufundi la timu ya taifa ya Morocco likiwa na mtu wa IT/TEHAMA/Video Analyst akiwa na laptop yake, kazi ya keni kufuatilia matukio yote na uhuni...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Hizi zinaweza kua si habari njema kwa wananchi, na ukizingatia mwishoni mwa msimu mwamba anamaliza mkataba wake. Huko bondeni kwa MADIBA mashabiki wa timu zote kubwa wameoneshwa kukoshwa na uwezo...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Ninaona yanga na watu wengine wajinga waliotamani kumsuta Mo, wanashadadia eti yanga kaonewa na mwamuzi. Huu ni ushamba mkubwa na inaonesha sio wafuatiliaji wa mechi za kimataifa. Ukihesabu...
4 Reactions
19 Replies
779 Views
Jana Yanga haikustahili kuishia hatua ya robo, ile goli ni halali kabisa na ushahidi wa video ni huu hapa. Mpira ulivuka mstari wa goal line kwa zaidi ya asilimia 100 kisha uka rebound tena.
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Tumepokea japo hatuwezi kusahau
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao. Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa. Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Timu nyingi hata Simba sidhani kama wamesafari na wachezaji majeruhi kama kipa wao Manula. Ila jiulize Yanga, mtu kama Yaoyao wanasafiri naye ili iweje? Kufanya nini? Kuna shida pale Yanga, mtu...
3 Reactions
18 Replies
921 Views
Hamjambo!!!( utajaza mwenyewe) Yanga acheni kudanganya watu kuwa mmedhurumiwa goli. Nakuichafua CAF.
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Back
Top Bottom