Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao...
Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea
Mechi ya SIMBA vs Al AHLY
SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu.
Pona ya SIMBA kudrw ni Red card....
Yanga vs...
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu.
Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.
Iwe jua iwe...
Gamondi ameliambia Mwanaspoti kuwa Yanga iko tayari kwa mchezo dhidi ya Mamelodi na watawapa sapraizi nyingine baada ya baadhi ya mastaa wake afya zao kutengamaa haswa Aucho na Pacome.
Gamondi...
Mtaniii,
Leo usiku zinatarajiwa kucheza mechi mbili za kihistoria ambapo Simba na Yanga zitakuwa ugenini kwenye ng'we ya pili ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Simba wapo Misri kumenyana na...
Mimi nitakuwa busy na kazi kwa siku zote mbili. So sitaweza Hata kufatilia.
Na shauri : Wazee wa pressure hizi match wasiangalie. Kama una mzee shabiki wa hizi team akae mbali na TV Unaweza...
PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF
Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara.
Siwezi kuamini hili baada ya...
Habari wakulungwa
Japo mechi ya kesho tunajua kuwa Simba itakandwa heavyweight na Al ahly lakini hapa ni mahususi Kwa ajili ya kuishauri technical bench Nini kifanyike Ili kupunguza idadi ya...
Imetokea leo katika uapisho wa viongozi ikulu ya Dar.
Kundi la wafanyabiashara kutoka Zanzibar wamemuunga mkono Rais Samia katika juhudi za kukuza michezo.
Huu ni upendo mkubwa na kudumisha...
#MICHEZO: Mashabiki wa Yanga, wanaosafiri kuelekea mji wa Pretoria, Afrika Kusini kwaajili ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns, tayari walipowasili katika...
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya...
Habari Ya Futari Wana JF
AZAM HAWAJAPENDA CRDB KUDHAMINI FA.
Wanashindwa kutoka hadharani na kuliongelea hili lakini Moyoni wanaumia sana.
-Jana shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) na...
Leo kutakiwa kuna kivumbi cha caf quarter final baini ya simba vs all ahly huku kule kuna mamelody sundown vs yanga
Mijadala yote ya game hizi ijadiliwe hapa but poleni kwa atayepoteza na...
Young Africans kesho watakuwa nchini Afrika kusini kurudiana na timu inayoogopewa kwa Afrika kwa ubora walionao sio wengine ni Mamelodi Sundowns. Kuelekea mechi ya kesho kocha wa Yanga amestua...
"Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza.
Na muda si mrefu...
REKODI ZAIBEBA AL AHLY NYUMBANI, ZAIBANA SIMBA SC VIWANJA VYA UGENINI.
Rekodi ya Al Ahly ikiwa nyumbani ni nzuri kwani haijapoteza mchezo wowote tangu Mei mwaka jana katika michuano yote...
Tanzanian side Yanga SC faced a frustrating start to their stay in South Africa after the team’s designated transport, provided by hosts Mamelodi Sundowns, broke down just 5 kilometres from OR...
Habari Jr,
Hoja ni fupi mno Simba sc wanasafiri kesho alfajiri na inaondoka na mashabiki 17, hawa mashabiki wanaenda kujilipia wenyewe kila kitu.
Serikali muwe seriously na hii kitu mnaingiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.