Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club". ©️ Peter Andrew. Afisa habari wa Singida...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuelekea mechi dhidi ya Yanga SC "Kwa aina yetu ya uchezaji tunastahili kupata sapoti kubwa kuliko tunayopata. Msimu uliopita tulishinda Ubingwa wa ligi lakini uwanja ulikuwa mtupu. "Tunahitaji...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ; ◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali. ◉ Goli...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Anaitwa Jawab raia wa Morroco huyu ni kocha wa viungo pale Yanga jamaa amefanikiwa sana kujenga stamina ya team kifupi ameendelea pale alipoishia prof manywele ambae kwa uhalisia alifanya kazi...
2 Reactions
10 Replies
817 Views
"Kushinda ugenini imewapa hali ya kujiamini wachezaji wangu, nimewaambia Mchezo bado haujaisha tunapaswa kucheza kana kwamba hatujashinda ugenini. Tunapaswa kufunga magoli mapema. Tutacheza kwa...
0 Reactions
4 Replies
502 Views
“Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
"Eti Tunapendelewa? Sisi Tulishaanza mchakato wetu wa safari mapema. Zaidi ya Mashabiki 30 walishalipia 600,000 zao za safari .. Uongozi ukaona kuna Fursa ya kuishirikisha Serikali kusaidia kidogo...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali.. kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa...
21 Reactions
72 Replies
4K Views
Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league...
5 Reactions
30 Replies
6K Views
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa bado Serikali ina dhamira ya kuileta moja ya timu za Ligi Kuu ya Soka ya Hispania, 'La Liga' kuja Tanzania na amemtaka Balozi mpya wa Hispania nchini...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali. Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la...
12 Reactions
20 Replies
1K Views
Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa...
0 Reactions
22 Replies
955 Views
Aisee Kwa uchezaji wa Al ahaly ule naamin asilimia 100 marudiano Simba lazima ashinde kutokana na sababu zifuatazo; 1. Kiwango walichoonesha Al ahaly ni kidogo ukilinganisha na Simba pamoja na...
4 Reactions
15 Replies
619 Views
Tangu nimeingia kwenye mpira wa Tanzania, kitu ambacho nimekua sifurahishwi nacho ni kwamba Yanga ikiwa na jambo flani ikaenda kwenye taasisi yeyote hapa nchini, taasisi hiyo itapeleka jambo...
7 Reactions
12 Replies
887 Views
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game. KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Kama mchambuzi mahiri wa soka hapa JF nimeona Simba ikiendelea kujaa kwenye mifumo ya Yanga. Kila kwenye mechi zake hivyo kukosa attention hivyo kuishia kukandwa daily. Suala la mshabiki wa Yanga...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao ) Kati ya wale 48 wanaoenda...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema wanatarajia kufanya uchunguzi wa ndani kubaini sababu za wachezaji wake kuumia mara kwa mara ikiwa ni siku chache baada ya Lisandro Martinez na...
1 Reactions
2 Replies
945 Views
Minara ya Simu kutoka Afrika Kusini ndiyo huwa Imara sana. Na ikitumika hapa ndani Spidi yake huwa ni ya Wastani, ila ikitumika Kwao Afrika Kusini hasa Mji wa Pretoria ndiyo huwa ina nguvu...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom