Habari wadau, nawatazamaga hawa jamaa wawili strikers wa simba sc, hata siwaelewi, kipindi hiki tunakuwaje na viongozi wa kubahatisha kwa upande wa uteuzi wa wachezaji!!! Unawezaje kutuaminisha...
Siku ya jana Jumatatu April01, 2024, baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania vimeripoti vikiwakariri baadhi ya viongozi wa serikali wakitoa taarifa ya kugharamia safari ya mashabiki wa club ya...
..[emoji266]..𝐖𝐀𝐍𝐀𝐍𝐂𝐇𝐈 𝐖𝐀𝐌𝐄𝐏𝐄𝐖𝐀 𝐇𝐄𝐒𝐇𝐈𝐌𝐀.
Mchezo wa Mamelodi Sundowns Dhidi ya Yanga Umepewa heshima ya SADC Derby na Wadhamini wa Michuano hiyo (Total Energies) Pamoja na shirikisho la Soka...
Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere?
Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa.
Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa...
Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba...
Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati
Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs...
NAOMBA NIKUKUMBUSHE KITU MY BROTHER HAJI MANARA KUHUSU SIMBA 1993.
Jana nilipata wasaa wa kuitazama clip yako kuhusu fainali ya Simba 1993 dhidi ya Stellah Abdijan.
Umesema nchi za Kiarabu...
There is no way SSC atamtoa Ahly, na there is no way Yanga atamtoa Mamelody… however, kimpira, it can be done lakini chance of occurrence ni less than 5%{0.05}.
Significance level of 95% ipo kwa...
Zamani kabla mikeka haijaingia hapa nchini mashabiki wa mpira walikuwa na ushabiki halisi kwa timu zao pendwa. Nakumbuka mechi kati ya Man United na Arsenal iliyochezwa mwaka 2003. Van Van...
Binafsi sare ya 0-0 dhidi ya timu ya wachambuzi (Ubuntu botho) sio matokeo niliyokuwa nikiyataka sababu niliamini Yanga sc, tulikuwa na nafasi ya kushinda huu mchezo kibabe, tena katika style ya...
Match Day 1st Leg.
Robo fainali
Yanga vs Mamelodi
Muda ni Saa 3 Usiku.
Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Mamelodi Sundowns
Mchezo umeanza...
Makolo wameinvest mpira wa mdomoni ( wakizamani) huku wakimtegemea Ahmed ally Kwa propaganda ili kushinda.... mfano...kawajaza mashabiki kuwa waanze kuhesabu magoli ....Baada ya kufika 3...
Leo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso!
Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia...
Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na...
Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria...
Habari Wanajamvi wakati watu tukiendelea kutafuta ela watu wanadhurumiwa haki zao
Jamàa alibeti timu 13 kampuni ya 1xbet na kuweka dau la $350, na ikaleta kiasi cha $22m Sawa na bilioni 50TSH...
Nimetafakari sana kuhusu matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa Afrika, na kile kinachoendelea kuhusu Simba kulingana na matokeo ya mechi yao!
Kwa dhati kabisa ukiangalia chati ya mechi hizo...
VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi
Sheria za mpira zinasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.