Ni wazi kabisa hizi figisu ila cha kushangaa ni kuona timu kubwa kama Mamelodi kufanya hivi vitu wakati wao walipokelewa vizuri hapa Tanzania, tushazoea kwa waarabu ila sasa imeanza kuwa hadi kwa...
Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo.
Ni mtu hatari kwa usalama na...
Singida Fountaine Gate FC na Singida Black Stars.
Habari nataka kujua nyuma ya hizo timu kuna nani? Je, mkoa wa Singida unashindwa kuazisha timu kuazia chini hadi kuja ligi kuu?
Naomba kujua...
Katikati ya jiji la Madrid, kuna hekalu la soka linalo vutia na kuakisi historia tajiri isiyolinganishwa popote kwenye mchezo huu mzuri wa soka.
Estadio Santiago de Bernabéu, ni maskani ya klabu...
Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu, ila msimu huu watatoa dollars laki moja...
Habari Wana JF najua mpo poa samahani kama nitakuwa nimewakwanza Kwa fikra hizi mnisamehe ila Wengi Wanaumia sana
Serikali hii inapesa za kulipia mashabiki pamoja na kuwapa pesa ya kujikimu huko...
Wadau nawasabahi,
Mada hapo juu inahusu Fedha anazotoa Rais kwa kila goli litakalofungwa na Vilabu vya Simba na Yanga kwenye Mashindano ya Kimataifa yanayoendelea.
Ni jambo zuri Mh. Rais...
Yanga SC left stranded after bus breaks down near airport
Tokelo Mokhesi13 hours agoLast Updated: 2 April 2024
https://youtu.be/CLAdkEw-G2k?feature=shared
Tanzanian side Yanga SC faced a...
Kuna watu wanamsema Inonga kuwa anafanya makosa mengi uwanjani siku hizi kuliko zamani bila kuangalia mambo muhimu. Ukweli ni kwamba Inonga hana raha kucheza Simba.
Inonga ni mchezaji mkubwa...
Jina kamili: Newcastle united
Jina la utani: The Magpies
Kuanzishwa: 1892
Uwanja wa nyumbani: St. James Park (uwezo mashabiki 52,000)
Wamiliki: Public investment fund 80% , RB Sports & Media 10%...
Taarifa kamili kutoka club ya APR imeeleza kwamba aliyekuwa kocha wao wa viungo Adel Zrane amefariki dunia,taarifa halisi haijaeleza nini chanzo cha kifo hicho
Wakati league zingine zikipamba moto duniani kule Ujerumani wakijiandaa kuandika historia baada ya kijana aliyeishi viunga vya bayern Munich na kuiba mbinu zao akiwapa Bayer Leverkusen kombe gumu...
RASMI Ihefu SC imehamia mkoani Singida baada ya kuuchagua uwanja wa CCM Liti kama uwanja wao wa nyumbani kwa msimu mzima.
Leo watendaji wote wa timu za ligi kuu wametumiwa taarifa rasmi ya kuwa...
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki.
Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki...
Tayari tunaye Mwakarobo senior mzoefu nguli wa kutinga robo fainali kwa miaka mitano kisha anapaki bus.
🐸🐸 kaibuka kutoka huko matopeni jangwani na kuanza kukimbizana na wakali wa CAFCL na...
Nilikuwa naangalia hapa idadi ya walioenda s.africa pamoja na tkt 48 Bure najiuliza hii NDEGE mbona ilihitaji watu wengi tu
Nikikumbuka vibe la Rwanda coaster 7 najiuliza nn kimewasibu Hawa...
Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.
"NENDENI KAPAMBANENI KUFA"
Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa...
Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda.
Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.