Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea, body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz Kii akaonesha kukubali kwa...
Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi
Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi
Mwenye nacho ataongezewa...
Huu si utabiri wala nasibu.
Kwa Sasa Simba ashapoteza "defence merchanisms" zote alizokuwa anajikingia dhidi ya mashambulizi ya Yanga
Kichaka cha "sisi wa kimataifa"....fyekelewa mbali
Kichaka...
Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo...
Marehemu wa Kwanza atazikiwa Pretoria Afrika Kusini Saa 5 Kamili za Usiku na Marehemu mwingine atazikwa Cairo Misri Saa 7 Kamili za Usiku.
Poleni sana Wafiwa wote kwa hii Misiba Miwili ya...
Habari wakuu
Rais wa heshima na Mwekezaji wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji Maarufu ‘MO’ ameweka ahadi nono kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo wataweza kufuzu kwenda hatua ya nusu...
Kwanza kabisa niwapongeze wachezaji kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kupark shabiby mpaka mwisho,, ila mchezo haukua wa kufurahisha hata kidogo.
Kuna chances ambazo zimepotezwa bila sababu, watu...
Hili halina ubishi,jinsi walivyofungua tawi sauz,tena kwa ubunifu wa kwenda na crdb,na toka wamefika huko,wana shughuli za kila aina,rais wetu,hersi said kaongea na vyombo kadhaa vya habari.safi sana
Sijui ni nini hiki ila kila mda thoughts zinakuja eti simba ameshinda kuingia nusu. Wametoka 1-0 then matuta akashinda ayoub katoa mikwaju miwili.....
Huu mpira addictive sana! #nguvu_moja
Club ya Young Africa inaongoza kwa takwimu za kufatiliwa JamiiForums dhidi ya mshindani wake Simba.
Upendo, uchangiaji pamoja na jicho yanga inaonesha kuwa mbele sana dhidi ya Simba.
Ingawa hadi...
LIGI YA MABINGWA HII kolo IMEFUATA NINI HUKU?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa ndio maana Simba ni underdog kwenye hii michuano kwasababu alipita Kwa kamseleleko...
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo...
direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great...
Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa.
Wana Simba SC...
Michezo ni Siasa
Msemaji wa Simba SC mh Ahmed amesema si haki Serikali kuwasafirisha mashabiki wa Yanga kwenda kuishangilia Timu binafsi huko Africa kusini kwa kutumia fedha za walipakodi.
Ahmed...
"Huku akisema CCM haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu, ambayo ni KMC ya Kinondoni, kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya CCM".
Haya yalisemwa na...
Baada ya Club ya Simba kukasirishwa na kitendo Cha Serikali kuridhia Ombi la club ya Yanga la Kusafirisha Mashabiki wake 48 kwenda Pretoria Africa ya Kusini Kwa ajili ya mechi ya pili ya...
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri
Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000.
Hili swala la Serikali...
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league
Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.