Nimefanya utafiti Baada ya droo za CAFCL kutoka tarehe 12 na nimepata kugundua kuwa mechi ya Yanga na mamelodi ndio mechi inayoteka hisia zaidi kuliko Even mechi zote ......
Makolo pia...
Habari.
Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2.
Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha...
Habari ndio hio kwani hawa jamaa mechi zao nyingi huwa wanashinda kwa ushindi mwembamba. Hivyo, Yanga ikipata walau goli moja, watahitaji kushinda kwa bao tatu ili wavuke huku Yanga wakiwa na...
Tarehe 1/3/2024 jamaa alienda na viongozi wake wote wa yanga pale CAIRO makao makuu ya al ahly kujifunza mbinu na mikakati ya ushindi hatua ya mtoano pamoja na kuanzisha mahusiano ya kimichezo...
Baada ya kikosi kinachoanza kutoka Leo Kuna mbumbumbu wengi walianza kushangilia na kupiga miluzi kwenye vibanda umiza wakisema yanga anachakazwa goli za kutosha Leo!
Baada ya kutomuona pacome...
Baada ya kumsikiliza kocha wetu, mbabaishaji Miguel Gamond katika mkutano na waandishi wa habari, Nimejikuta nimekata matumaini ya timu Yangu kushinda mchezo wa kesho dhidi ya kabayelo...
Baada ya nyimbo na tambo zilizotolewa tokea siku ya upangaji wa droo hatimaye first leg imekamilika huku waliokuwa wanapigwa vijembe kwanzia siku ya kwanza ya upangwaji wa droo ya robo fainali...
✍🏻Mamelodi leo walionesha kitu ambacho mara nyingi wanakionesha Brighton ( kwenye build up ) kipi hiko ?Kukuvuta uende kuwafanyia pressing ( Baiting the press ) na kwanini hivyo ?
1: Ni kwamba...
Stephen Aziz Ki na Djigui Diarra bado sijawaona kambini na walipaswa kuwa wamerejea kutoka kwenye majukumu yao ya timu zao za taifa”
- Kocha Miguel Gamondi, Yanga Afrika.
Yapi maoni yako??
Mashabiki wengi wa kuazima wa Mamelodi wamelala usingizi wa mang'amung'amu hiyo Jana
Hawakutegemea walichokiona,hawaamini macho Yao
Waliloliwaza wiki nzima halijawa
Wameishia kutoa mapovu ya...
Mpaka ninapoandika makala hii timu zote zilizoingia robo FAINALI zimetoka sare ya 0-0 kasoro Al AHLY TU ndo amekutana na kibonde akamfunga. Kwa hiyo kolozdad mbovu
Ninao uhakika kuwa Yanga hivyo tujiandae kumpokea bingwa mpya wa mashindano ya CAF ambae atakutana fainali na muarabu.
YANGA TUJICHANGE PESA YA KWENDA MISRI KABISAAA.
Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria.
Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1...
Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano...
Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha...
Mimi ni muumini wa Investment kwenye Soka, ninaimba sana hapa JF, siamini katika uchawi na maisha sio rahisi hivyo.
Siamini porojo za media zinazofanywa na SSC na Yanga.
Naamini katika pure...
Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu...
Kwa dhati kabisa ninauomba uongozi wa yanga,, ukae chini ubadilishe hii slogan ya daima mbele nyuma mwiko.
Slogan hiyo imekua ikitumika vibaya kututusi wanayanga kwamba tunatembea na mwiko,, kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.