Wadau wa Soka na wapenzi wa SIMBA poleni sana kwa kilichowapata jana.
Nimeona takwimu za Mchezo wa Jana SIMBA imeongoza sehemu kubwa lakini ikafungwa.
JE nini SABABU za SIMBA KUFUNGWA...
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC
📆 01.03.2024
🏟 Cairo International
🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿
TimuYaWananchi
DaimaMbeleNyumaMwiko
Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi...
Leo sisalimii mtu.
Naona kuna kampeni ya kihuni imeanzishwa kwamba as a country kuna solidarity when it comes to supporting Simba na Yanga kwenye CAFCL. Huu ni uhuni. Hakuna solidarity.
Sisi...
Naenda Kutambika kwa Babu yangu Mkoani Morogoro na kula Pasaka ila napenda Leo nijumuike na wana Yanga SC kuitizama ikicheza na Mamelodi Sundowns FC.
Wa Morogoro semeni mtakuwa Ukumbi gani ili...
Wakati mashabiki wengi wa mwakarobo efusii au ukitaka waite mbumbumbu, wakisubiri kwa hamu mchezo wa Leo baina ya vidume Yanga afrika dhidi ya matapeli toka south Africa, kwa minajili ya kutafuta...
Wakuu nimefatilia na kuona mageti ya uwanja wa Taifa kuwa na rangi nyekundu nawaza kwa utulivu, hii sio kwamba TFF na wizara kuongozwa na Wana Simba imechangia hali hiyo?
Kama MZALENDO wa nchi...
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King. Ifike muda sasa muwe mnanielewa na mkubali kuwa Nimebarikiwa vingi na Mola sawa?
Ni Mchezaji mwenye Nuksi mno SSC. Na kudhihirisha hilo hata sasa Kocha amemtoa...
Kwa wanaojua mpira vizuri Yanga ya sasa imebadilika Nyumbani wanaupiga mwingi ila ugenini wanaupiga mwingi zaidi,binafsi naona Mamelod watapigwa chuma kuanzia 2 mpaka 4 na hamtaamini.
Nawapongeza...
Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa...
Japo hawakupata matokeo, Simba walivuja jasho jingi sana na walionesha maalifa ya hali ya juu. Pamoja na madai ya wengi kuwa quality ilikosekana, pengine bahati ndio ilikosekana zaidi kwani vijana...
Ukweli lazima usemwe Simba ni Timu mbovu tena Mbovu sana.Simba ni timu iliyofanya usajili wa hovyo huku ikijua inashiriki mashindano makubwa na magumu.
Tatizo la SIMBA Viongozi wanaamini uchawi...
Furaha ya mashabiki wa Simba sc ipo mikononi mwa Mamelody Fc, hapa hakuna Tena uzalendo aliouzungumza waziri wa michezo
Mashabiki wa Simba sc wanaomba Mamelody Fc washinde ili mzani ubalance...
Salam kwa JF member wote
IKUMBUKWE
*Sina upendeleo na klab yoyote
*Si mtaalam sana wa mpira wa miguu
*Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo...
Ni muda mrefu kiasi umepita toka nilipoa andika uzi kuhusiana na club ya yanga.
https://www.jamiiforums.com/threads/msimu-bora-kwa-kikosi-kilicho-bora-tanzania.2068095/
Yanga wanazidi kuonesha...
"tuna kocha Bora na tuna wachezaji Bora Simba sc lazima itamtoa Al ahly na kuingia nusu Fainali" Ahmedy Ally
Swali kikosi Bora kipo wapi? Ni kikosi hiki hiki kilichokua na migogoro na mashabiki...
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika...
Habarini wanajukwaa la SPORTS.
Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.