Ili kuficha AIBU najua maombi ya mashabiki wa Simba leo ni kuona YANGA anafungwa.
Na ikitokea Yanga kufungwa utawasikia maneno yao ya shobo na majigambo.
Wanasimba ombeni sana tu Yanga afungwe...
Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana?
Kila la Kheri Yanga SC...
Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea.
Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga...
"We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.” — Marcel Koller Al Ahl coach
My Take
Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo...
Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo !
Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
Siku kama ya Leo wiki ijayo ndipo kutakapokua vilio na kusaga meno katika dimba la Mkapa kwani Kolozidad atapigwa na kitu kizito.
Baada ya hapo ataenda tena Cairo kufanyiwa mambo mabaya sana na...
Habar JF,
Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani...
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO...
What's up, fellow footballers!
Today, I want to talk about something that's been bugging me for a while: time-wasting in our Tanzanian league. We all know it happens – players faking injuries...
Najua kocha anapenda kumtumia Saidoo ntibazonkiza kwa sababu ya profile yake lakini ukija kwenye pitch huyu Saidoo hakupi unachotaka.
Kuna mchezaji Kama Miqson, kibu denis Hawa wanafaa kupewa...
Washabiki wa Simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya Al Ahly yaani wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao...
Hii kampeni bila shaka imeasisiwa na wanasiasa wasio fahamu utani wa jadi uliopo kati ya simba na yanga.
Ukiwa shabiki wa timu mojawapo ya hizi timu huwezi kuiombea mema timu ya upande wa pili...
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo.
Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya...
(1) Jina la 'Al-Ahly SC'
Jina lilipendekezwa na Amin Samy Amin, ambaye alipendekeza kuwa jina hilo ni sawa na neno "taifa" katika Kiarabu cha Misri. Lengo la jina ni kuwahudumia wanafunzi na...
Simba imepata nafasi zaidi ya 20 za mashambulizi mazuri kutengeneza magoli ya wazi kabisa wameshindwa, umakini ni mdogo mno wanapokaribia lango la adui
Tatizo sio kocha, tatizo la simba ni...
Hizi ni dharau kubwa sana kuona timu zetu zinafika hatua nzuri katika michuano ya kimataifa lakini zinashindwa kusonga mbele Tena zinafungwa uwanja wa nyumbani.
Nilishawahi Kuandika humu baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.