Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo.
Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk...
Nimeshangazwa na mashabiki wa Simba sc wakiongozwa na Msemaji wao Ahmedy Ally (kisipika) akijinadi kuwa Al ahly atafungwa kwa kuwa Wanakocha mzuri aliyewahi kuchukua Super cup mbele ya Al ahly...
Juzi tumeanza kwa kutoa Sadaka kwa Watoto Yatima na Wasiojiweza na Leo Alrajiri Jini ameshashibishwa Chakula chake pendwa cha Damu huku Watu Maalum wakifuata Kitu fulani Ajalini ambacho Babu...
Kwa mara nyingine ile ya kwa mkapa hatoki mtu leo huenda inavunjwa kama alivyofanya Raja Casablanca.
Alhalyl ni timu ambayo inaleta matokeo popote pale , hardly Ahly kufungwa goli tatu kama...
Leo Mnyama Simba a.k.a watukutu wa Kariakoo wanarusha kete yao ya kwanza dhidi ya Club ghali, bora zaidi Afrika Al-ahly ya Misri, ktk mashindano ya klabu bingwa Afrika, ikiwa ni ktk hatua ya robo...
Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo.
"Nafikri wewe kibabu Jemedari...
Ni masaa machache tu yamebaki kabla ya Simba kuwavaa waarabu,
Nina sababu kubwa mbili kuwaunga mkono Simba kwenye mechi ya Leo.
Ni CAF kutupa vigogo wote ili tutolewe kwenye mashindano ili...
NDOTO ya kulipwa mishahara mikubwa na kwenda kuanza maisha kwenye ligi mpya ya Saudi Pro League imegeuka kuwa majanga kwa baadhi ya wanasoka duniani na sasa wanatafuta njia ya kurudi Ulaya.
Kundi...
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
Simba atashinda
Yanga atashinda
Hilo nina uhakika nalo 100%
Nchi imewaita na kuwaambia waache ubinafsi, kwahiyo hawa jamaa wako pamoja ila kila mmoja anafanya lake.
Ushindi kwa timu hizi...
Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia...
Ni Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media.
Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa...
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.
Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.
Nimeota Al...
Wakuu wasalaaaamu!
Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya...
Siku za karibuni Al Ahly wamekuwa na ujasiri mkubwa wakikutana na simba. Sababu kuu ni kwamba wanajua lazima wafanikishe malengo yao mbele ya simba kwakua simba imekosa kabisa mbinu ya...
Yanga wameamua mashabiki waingie bure kule mzunguko ili uwanja ujae na kwa vile Rais wa CAF ni Rais wa Mamelod wakiwa na mkakati mkubwa kuwa ionekane kuwa wao wana mashabiki wengi kuliko Simba...
Inahitaji jicho la ziada na la kijasusi kuona jambo fulani katika video hii wakati Mamelodi Sundowns wanakanyaga ardhi ya Nyerere.
https://www.youtube.com/watch?v=WbXPCaWE4uY
Embu nione ni...
Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.