Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wametua bana, mmeona pia mfuturishe bure uwanjani ili watu wajae mfanye yale mambo yetu. Cwezi vaa jezi ya Mamelodi lakini siwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje.
4 Reactions
16 Replies
895 Views
Ukubwa wa mechi kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na ile ya Yanga vs Mamelodi Sundowns ushakuwa wazi tangu tarehe 12/03/2024 ilipopangwa droo ya CAF robo fainali. Tangu hiyo siku mpka Leo,kati ya...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
- Huwa binafsi mimi na wachezaji wangu tunatembea bila viatu wakati tunapoukagua uwanja wa wapinzani wetu #CAFCL, wasiotufahamu haswa katika michezo ya kimataifa huhisi ni uchawi wetu ila ukweli...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Astaghafir! Astaghafir! Astaghafir NALIA NGWENA na akili yangu timamu Mimi huyu nikaishaingilie Simba SC eti kwa kuwa Waziri Kasema tuweke uzalendo ni ngumu sana Tena sana na haitotokea. Siwezi...
5 Reactions
27 Replies
783 Views
Mkuu wa msafara wa Al Ahly Hossam Ghally amesema kizuizi kikubwa kwao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC ni uwepo wa kocha Abdelhak Benchikha. Al Ahly inatarajiwa...
2 Reactions
12 Replies
876 Views
Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa. Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia...
5 Reactions
14 Replies
619 Views
Pamoja na hii mikwara yao utashangaa anakufa 3-0 siku ya Ijumaa pale Lupaso. Nimependa mikwara yao japo mtu mzima hatishiwi nyau.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na...
0 Reactions
1 Replies
454 Views
[emoji187]Utafiti mdogo unaonesha asilimia zaidi ya 90 ya Watanzania kwa sasa hivi, wanaifutilia zaidi klabu ya Yanga kuliko klabu nyingine yoyote Tanzania hii. Kuanzia mitaani, runingani na...
9 Reactions
91 Replies
3K Views
Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Kila nikipita mitandaoni Huwa nacheka sana kuona makolo [emoji250] [emoji250] wakifarijiana Kwamba wataenda semi final there for wamtoe Al ahly hizi ni ndoto za abunwasi ( waste of time) Yaani...
10 Reactions
74 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la mashabiki wake pamoja na walinzi wake wa uwanjani (stewards)kupanga njama na kufanikisha azma ya kuingia uwanjani na...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Jaribu kufikiria kama kungekuwa na tuzo ya mchezaji anayekaa sana benchi (bench d’or) nani angeshinda tuzo hiyo?
1 Reactions
5 Replies
336 Views
Msemaji mwenye wadhifa wake na kaliba ya semaji la kimataifa ndugu Ally Kamwe amesema hayo leo Ameyasema hayo kuwatoa hofu mashabiki og na wale chipolopolo wa Masandawana Ugomvi wetu na...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakati tunazungumzia mechi ya Yanga na Mamelodi siku ya jumamosi tusisahau pia Simba ni timu yetu nayo inacheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika siku ya ijumaa. Tuzipe umuhimu sawa maana zote...
6 Reactions
17 Replies
805 Views
Wakuu naomba kufahamishwa hii app inaitwaje? Ni app kwaajili ya habari za michezo au ni kwaajili ya kununua tiketi pekee?
0 Reactions
3 Replies
334 Views
The UEFA EURO 2024 final tournament is scheduled to take place from 14 June to 14 July 2024. As the host nation, Germany are seeded in Group A and will occupy position A1; they will therefore play...
1 Reactions
6 Replies
532 Views
Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣 Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m...
1 Reactions
14 Replies
550 Views
Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni. Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Tuwekeane list ya timu ambazo kufunga kwao ni uhakika na kushinda kwao ni uhakika: liverpool, manchester city, bayer leavekus, young africa,beyarn munich, kwa wale wazee wa kubet hizi ndio timu...
1 Reactions
14 Replies
469 Views
Back
Top Bottom