Viongozi wa SImba endeleeni kuhamasisha mashabiki kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa kwa sababu hao hao mashabiki wetu watakaokwenda Ijumaa kuangalia show ya kibabe yenye kiingilio ndio...
Hakika mwaka jana (2023) ulikuwa mwaka mzuri sana kwenye upande wa boxing ,tulishuhudia mapambano ya kukata na shoka, linatoka hili linakuja lile, mfano Terence Crawford vs Errol Spence, Gervonta...
Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
---
Beki wa zamani...
Kila kona ya nchi na Afrika kiujumla habari ni kuhusu Yanga na mamelodi. Mara utasikia unamjua Zwane? Unamjua Peter Shalulile? Mara utasikia Mokoena atawafanya mbaya, mara hujakaa sawa utaskia...
Mpira wa miguu una mambo mengi tena mara nyingine unaweza kushangazwa zaidi na mambo ya ajabu yanayotokea viwanjani na kulazimika mechi kusimama kwa muda. Hutokea wachezaji wakiwa wanapambana...
Simba moyo unataka kucheza nusu finali lakini quality yao inakataa katakata na wana mashaka nayo. Tumaini lao kuu huwa wanalielekeza kwa kocha Benchikha kwakuwa anao uzoefu mkubwa wa kucheza hizi...
Habari wakuu,
Tuanzie hapa,
" Haina maana ya kufanya defense, mpira ni mchezo wa burudani inayovutia mashabiki. Tunaenda kucheza mpira kama ilivyo kawaida yetu. Tunaiheshimu Yanga, hivyo...
Siku ya Tarehe 29 Mwezi huu wa March 2024, Timu ya Simba itatupa karata yake ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa mechi za robo fainali dhidi ya miamba ya soka Afrika, Al Ahly Sporting kutoka nchini...
Marafiki zangu Wakubwa akina Bhinda na Kampira wa Yanga SC tusije tu Kulaumiana Weekend hii.
Kesho Jumatano tarehe 27 Machi, 2024 ni BIRTHDAY yangu GENTAMYCINE hivyo natoka huku Makao Mapinga...
Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.
1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African...
Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi...
Yanga hatunaga dogo
Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya
Mamelodi Sundowns wajipange,
Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea
Yanga huwa...
Ukipita Mitaani ulikuwa Unasikia Mashabiki wa Simba wakijinasibu "Sisi lazima tuione nusu Msimu huu, Haiwezekani robo robo iwe kila Mwaka" Mashabiki wa Simba ndiyo Mashabiki waliokuwa wanaonekana...
Makelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa...
Wachezaji wa Mamelodi Sundowns Denis Onyango ,Khuliso Mudau na Rivaldo Coetzee wamewaomba mashabiki wao ambao ni watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya mechi yao dhidi ya Yanga ili kuwapa motisha...
Katika mechi ya leo ya Taifa stars nimependa asilimia kubwa ya wachezaji wa leo ni kizazi kitakacho kuwepo kwa muda mrefu kutokana na umri wao japo matokeo sio ishu kutokana na timu ya Mongolia...
Yanga hatunaga dogo
Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya
Mamelodi Sundowns wajipange,
Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea
Yanga huwa...
Ukubwa wa mamelod ni upi?
Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa?
Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku?
Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.