Ni aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni...
Kusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve.
Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd...
Ndio nimefika Dar jana. Asubuhi nikafika vijiweni vya soka na kagawa. Nataka kujua kina nani wamelipiwa. Kila mwana Yanga ukimuuliza kama amelipiwa anasema yakhee niombe radhi mimi siwezi...
Mimi na wenzangu tumrshanunua jezi za Mamellod na tutazitinga, natamani mtu abiguse ilu saa mbili nionekane kwenye taharifa ya habari na front page za magazeti ya kesho yake.
Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, ameshinda leo mbio za kilomita 42 za Chongqing International Marathon, kwa muda wa saa mbili na dakika ishirini na...
Tunaweza kulaumu bure kwanini waziri wetu alitania utani wa ngumi lakini ikumbukwe kuwa aliwahi kumuuliza swali la michezo mtu asiye sahihi, kiufundi ni kama vile hana uelewa wa mambo ya soka?
Alipo ulizwa kuhusu Diego Armando Maradona maarufu kama El Pibe di Oro yaani Golden Boy, Mzee Berlusconi alisema:
Nilitaka saana kumleta Maradona ili aje AC Milan akamilike na hata abebe mataji...
KINGINE TOKA KWA GANG CHOMBA…
Nyota wa zamani wa Real Madrid Hugo Sanchez aliifungia timu hio magoli 38 katika msimu wa miaka ya 1989/1990.
Sasa ni hivi, katika magoli yoote hayo ambayo mwamba...
Takribani Wachezaji wa 4 wa Al Ahly kuikosa mechi ya mnyama mkali kwa mkapa,
Wachezaji hao ni
Al shahat
Ashour
Dieng
Yesser Ibrahim
Unaambiwa Bench la Ufundi la Ahly limechanganyikiwa, wanasema...
Salaam,
Kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri Damas Ndumbaro kutoa maelekezo kwa mashabiki wa soka nchini ya kuwa inabidi Watanzania woote tusimame kwa ajili ya nchi, na upinzani wetu wa...
Mechi kati ya Al Ahly na simba ni kisasi ambacho ni kati ya dubwana lenye nguvu dhidi ya kijana mdogo, mechi ya kariba hiyo ni rahisi japo ngumu. Al Ahly kupangwa na simba ni kama bahati kwao...
moja, ni timu bora kabisa barani Africa, Simba S.C.
hawa jamaa, wana ijumaa moja ngumu sana kiroho na kimwili. Ijumaa ya kushika moyo, huku jua nalo likififizwa na wingu zito la roho ya itakuaje...
Hii ndiyo kauli mbiu bora kabisa kutoka kwa mjangwani mwenzetu. Hakika tunaenda kuwagaragaza simba hawa wa manjano pale kwa mkapa. Karibu tuburudike.
Dominika njema!
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua...
Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:-
"Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea...
Nitumie nafasi hii kumpongeza kiungo wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kuitungua Utopolo goli la ushindi wa 2-1 kwenye mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani (Yanga SC) uliopigwa juzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.