Habari zenu wadau!
Japo sijawahi kumwambia yeyote, ukweli ni kwamba mara kadhaa nimekuwa nikiota ndoto kuhusu mambo mbali mbali ambayo mengi hutimia kama nilivyotabiri kwa sababu ukiachana na...
Uwanja wa Mkapa ni uwanja mzuri sana wenye sifa zote za kimataifa. Kinacghotia aibu ni pale mchezaji anapoumia, basi jamaa wa first Aid humbebva kwa machela, jambo ambalo ni la kizamani sana na...
Naibu Waziri wa Saana, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amedai sababu moja wapo ya kujenga Uwanja wa Michezo unaochukua watu 30,000 mkoani Arusha ni kuwa kwa wastani katika mechi...
#KIPENGA: ''Kwenye eneo la ulinzi ni eneo ambalo Aubrey Modiba kutokea Mamelodi anacheza na kitu ambacho Aubrey Modiba anamzidi Bacca sijakiona kwa sababu Bacca amekuwa na muendelezo mzuri wa...
Japo huu usemi wa "... Kwao kama kwetu". [emoji196][emoji196] wameiga kutoka kwa Mashujaa fc, sio mbaya [emoji23], naona utawafaa sana kukusanya buku 2 za kubet kutoka kwa [emoji196][emoji196]...
Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni...
KADUGUDA: SIMBA INA SAJILI WACHEZAJI WA NDONDO
Mwanachama Mwandamizi wa Simba SC na aliyewahi kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Simba Mhina Kaduguda ametoa maoni yake kuhusiana na namna Uongozi wa Simba...
"Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe.
Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja...
Klabu ya Real Madrid inadaiwa kuwa inamfuatilia beki wa pembeni wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25) ambaye amekuwa tegemeo katika kikosi ch Liverpool tangu Mwaka 2016.
Mkataba wake...
Habari wakuu!
Kuelekea Robo Fainali Tarehe 30 pale kwa mkapa hebu tuchukue hii kwanza...
Wakati macho ya wengi wakipiga hesabu za Themba Zwane, Teboho Mokoena, Peter Shalulile, Marcel Arende...
Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza...
Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko.
Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu...
Yanga inategemewa kucheza na club ya Mamelodi Sundowns (masandawana ) kutoka Africa ya kusini.
Yanga Ni moja ya wawakilishi wa TANZANIA kwenye mashindano haya, kila la kheri wananchi.
Baada ya vuguvugu la habari zisizo na uaminifu ndani yake, hatimae Ronaldo akihojiwa katika kituo cha Runinga cha FOX chenye matawi yake huko Amerika ya kaskazini na ya Kusini, amesema kuwa kamwe...
Raisi wa Tff amesema ana muda wa terms 2 za kugombea baada ya kufanya amendment kwenye katiba!
Anasema wanaanzia kuhesabu terms zake pale amendments ilipofanyika, utumishi uliokuwa nyuma ya ile...
Kufatia kauli ya Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro kuwa watawashughulikia wale wote watakaokwenda kuwapokea na kuwashangilia timu pinzani nje na Tanzania ni uamuzi wa kupigwa vita kwani unaenda kuua...
🗣️ “Baada ya Mchezo dhidi ya Milan, mshambuliaji Nyota wa SSC Napoli Armando Diego Maradona anaeleza kuwa, hakuwahi kutokea, hayupo na hatokuwepo Mlinzi kama Franco Baresi.
Hii jezi sina budi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.