Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema hakuna shabiki atakayedaiwa pasipoti wakati anaingia uwanjani katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Mamelodi...
CAF imefungua usajili kwa timu zilizoingia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho ili kufanya mabadiliko kwenye vikosi vyao.
Timu zote zinaweza kuingiza majina ya Wachezaji wapya...
[emoji599] OFFICIAL & CONFIRMED:
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo fundi ZOUZOUA PACOME (26) kutoka Asec kwa Mkataba wa miaka miwili.
Pacome [emoji1132] ni kiungo...
Updates
Half Time Yanga 0-0 Marumo
Goal
68" Aziz Ki
70" Yanga 1-0 Marumo
Goal
92" Bernard Morison
94" Yanga 2-0 Marumo
FT: Yanga 2-0 Marumo
Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young...
Lengo la uzi huu ni kukumbushana orodha ya Wachezaji ambao wamewahi kuzitumikia timu zote hizi kwa vipindi tofauti tena kwa mafanikio. Yaani mchezaji anaweza akawa alicheza Simba baadae akaenda...
Melissa Vargas ni mchezaji wa mpira wa wavu(Voleyball) kutoka Cuba ambaye anajulikana kwa uwezo wake mkubwa katika uwanja wa mpira wa wavu, haswa kama mchezaji wa pembeni. Alizaliwa tarehe 2 Mei...
Hivi umewahi kujiuliza ni kwa vigezo gani CAF waliitangaza Al Ahly kuwa ni timu bora ya karne ya 20? Wengi mnadhani ni kwa kubeba makombe mengi kuliko timu nyingine yoyote lakini siyo kweli...
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro kwamba Shabiki atakayekwenda uwanjani kutazama mechi za...
Wape ushindi wale wanaokuabudu kwa dhati ya Moyoni. Na wanyime wale wanafanya ushirikina ili washindi. Eee Mola iwapo kuna mwana Simba yeyote atakayeshirikiana na waganga na washirikina basi...
Katika bara ambalo linavituko na linawatu ambo hawako serious bas ni Africa ndo maana umaskini umetamalaki na uongozi mbovu in general.
Mwaka jana 2023 pacome alipokea tuzo ya mchezaji bora wa...
#Wazee wa klabu ya Simba hawamtaki aliyewahi kuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mhina Kaduguda baada ya kusema Fred na Jobe ni wachezaji ambao unaweza kuwapata Tandika na Mwananyamala.
Video ...
Siku ya jumamosi katika mtanange wa young Africans na mamelody ,je mamelody watavaa ule Uzi wao wa rangi ya njano na bukta ya bluu(Ubuntu bothu) au ule wa rangi nyeusi?
Nimeuliza hivi kwa sababu...
Katika muendelezo wa tambo mbali mbali za Simba na Yanga pindi ukiotewa pale ambapo pana mshono hakika nawe lazima ukajipange kuja kurudisha mashambilizi.
Picha ya zamani ya Ahmed Ally akiwa...
Nukta yangu naiweka hapa YANGA imekuwa ni moja ya timu tishio barani Afrika kwa sasa hii inatokana na kiwango kikubwa ambacho amekionesha kuanzia Makundi ya Shirikisho mpaka kufikia finali mwaka...
Wiki inayoanza kesho ni wiki ngumu sana Mamelodi na Al Ahly Kwa kile watakachokutana nacho kwenye dimba la Benjamin Mkapa dimba ambalo Yanga SC na Simba SC wamezoea kufanya mabalaa Kwa kila mgeni...
Niliwai kusema kwamba viongozi wa Simba na wanachama wao walikuwa wamebaki kutambia mafanikio ya mechi za kimataifa misimu 4 iliyopita huku wakiibeza yanga ambayo ilikuwa inajitafuta!
Nilisema...
Mechi baina ya Yanga na Azam, imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Yao Kouassi.
Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya tu au kulikuwa na nia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.