Kukosekana kwa hao wachezaji kunanipunguzia sana matumaini ya Yanga kufanyanya vizuri na ninaona kama Yanga wana bahati mbaya ingawa bado wanaweza kufanya vizuri kwa kikosi kilichotangazwa kuanza...
Wakuu bila kuwafunga waarabu hawataacha kutudharau watu weusi.
Sasa ni dhahili Yanga atacheza finally na Al Ahly ili kumlipiza na kuwatoa waarabu kabisa kwenye ramani ya mpira Africa ili wawe na...
Ukiingia mtaani mashabiki walio wengi wanaamini kwamba Yanga ndio ana mechi ngumu zaidi ya Simba , mashabiki wa yanga wali ingia unyonge baada ya Droo kupangwa.
Huku wa Simba wakitamba kwamba...
CAF Championship mwaka huu inaonekana kuwa ngumu sana. Mpaka sasa bado mchezo baina ya ES Tunis na ASEC Mimosas bado unaendelea na bado hawajafungana; nitakuja kuhariri post hii baada ya mchezo...
Kwa walioangalia first half, je ni mfumo gani rahisi kuchukua mpira na kuumiliki kwa mbinu waliyotumia Mamelodi first half?
Kama timu imekuja na tricky ile mnafanyaje?au mtumie mfumo gani? Maana...
MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi...
Huko kwenye page ya Yanga ni mwendo wa malalamiko ya waliolipia VIP na nyinginezo, uwanja umefungwa tangu saa 12 jioni baada ya watu wa bure 'kuteka' uwanja.
Waliolipia wakapambana mwisho...
KAZI tadani taidani
Wapendwa watanzania, uongozi wa Yanga kwa moyo mmoja umekaa na kuona tunaitaji watanzania wengi kuona mechi zetu
Hivyo basi mechi ya yanga na TP Mazembe tumeondoa viingilio...
Haijakamilika Mpaka ikamilike.
Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki.
Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa.
Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba...
Hivi Simba ni Lini imewateua Hawa watu kuwa wasemaji wa Washabiki wa Simba, mana wao wamekuwa wakisifia Simba hata ikifungwa na na nguvu nyingi wameweka kuikosoa Yanga.
Tofauti na Mashabiki...
Yanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kwenda uwanjani kupambana ili kupata matokeo.
Yanga haiendi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na...
Poleni sana kwa dhahama mliyokutana nayo jana. Tuseme tu ukweli Simba hawana timu ya kumfunga Ahly.
Hapa bongo huwa mna struggle sana kuzifunga timu pinzani.
Ukweli ni kwamba mna bidii lkn hamna...
habari Wana JF,
Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito [emoji24] pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao...
Ukisikiliza propaganda za viongozi wa Simba unaweza sema timu ina maajabu ila kiuhalisia hakuna kitu.
Masuala ya kusema kila mara tumejitahidi hayana tija. Mashabiki tunaumia sana na watoa...
sometimes hua nashindwa kuelewa kocha benchika malengo ya kuanza na viungo 3 wakabaji kiasili ngoma,kanoute na babacar halafu mbele kuna playmaker 2 na straika 1.
Naamini/naona kuna wingers ambao...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly .
Wacha inyeshe.
Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.