Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya Mechi kuchezwa kwa dakika 120 bila kufungana ilifika hatua ya Kupiga PENALT 5 kila TIMU. Katika Hatua hiyo MAMELODI walipata Penalt 3 na kukosa 2 na YANGA walipata Penalt 2 na kukosa 3 na...
2 Reactions
6 Replies
602 Views
Boss wa maigizo Fc (kanjibahi) ameahidi kutoa milioni 500 endapo timu itashinda (kufuzu) hatua ya Robo fainali, hii hamasa haina tofauti na mgonjwa aliyekua anaumwa na kukosa dawa hakupewa msaaada...
4 Reactions
11 Replies
447 Views
NALIA NGWENA Leo nimechanganyikiwa baada ya kuona ukurasa wa Azam sports ukiposti ujumbe huu #ASFC: Machi 2, 2024, wapiga picha wa Mtibwa Sugar, waliipiga picha hii wakati kikosi cha timu hiyo...
1 Reactions
2 Replies
527 Views
Mamelodi sundowns ni timu yenye CV ya ajabu sana. Imewai kutwaa kombe la africa mara moja mwaka 2016. Na hiyo mara moja walitwaa kwa vituko vingi sana. Vinachekesha. Baada ya kushindwa uwanjani...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Inashangaza kuona yanga wanalilia goli ambalo sio goli ,mpaka refa anyoshe kati ndio linakua goli. Pili kujitoa ufahamu wa kulilia nusu fainali ilihali mnajua viongozi wenu walishawatangazia...
7 Reactions
25 Replies
644 Views
Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa. Kwanza mm...
13 Reactions
48 Replies
1K Views
Yaani nyie nyuma kuna mwiko mlijua mtamtoa mtoto wa raisi kirahisi hivyo, mcheza kwao hutuzwa, nyie bado ni wadogo sana kupewa lile goli 😀 Safi sana refa umetuondolea makelele hapa town.
4 Reactions
10 Replies
644 Views
Wakuu, Ni muda umepita bila ya kuwasikia wasemaji wa CHADEMA kupitia mitandao haswa Lema na Mdude. Ni ukweli kuwa usemaji wao ni wa kufizia matukio na si usemaji wa kuuza sera za chama chao...
-1 Reactions
21 Replies
563 Views
Nimeshangaa sana awa wafuasi wa mangungu kutoijadili timu yao iliyopigwa nje ndani na Aly ahly na badala yake wamekuwa makini kujadili mechi za Yanga dhidi ya Mamelod kuanzia mechi ya kwanza mpaka...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554 Hii ndio video...
4 Reactions
9 Replies
831 Views
Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe, mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa. Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho...
2 Reactions
3 Replies
437 Views
Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa wadhamini, viongozi, wadau, wachezaji, wanachama na mashabiki wa Wananchi Young Africans SC kwa mchakato, uwekezaji na mafanikio waliyoyavuna kwa misimu...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wakuu...Ni siku nyingine mpya kabisa na matukio hayakosekani wadau wa soka...twende kwenye mada Moja.....VAR Sio msaada sahihi wa kuamua kama mpira umevuka mstari wa goli au la...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari Ya jioni wana JF. Mimi ni shabaiki Wa Simba sc lialia lakini Ukweli mchungu wa mashabiki wezangu Jana niliandika kuwa yanga wanaweza Kwenda kushinda mechi Na mmejionea nilichoandika...
6 Reactions
8 Replies
595 Views
Habari wakuu, Kwa sababu hii Kutowapanga Aucho,Pacome,Yao Eti hawapo Fit 100% Kuwa wasijekuumia wakakosa Ubingwa na kuwatumia kwenye Ligi pamoja na Mechi ya Simba! Leo wanaweza Kupigwa Nyingi na...
0 Reactions
1 Replies
479 Views
Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga. Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu...
1 Reactions
16 Replies
589 Views
Awali ya yote natoa pongezi zangu kwa uongozi wa Yanga, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki kwa kuendeleza ushirikiano kwa kuhahakikisha timu ya Yanga inafanya vizuri. Kwenye mechi za robo...
1 Reactions
1 Replies
326 Views
Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili. Kuna...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Hii italinda heshima ya soka bora walilonao.Italinda heshima ya timu na wachezaji kwa ujumla.Viongozi wao wakae chini wafikirie mara mbili. Timu yao ni kubwa sana ni bora wajitoe kulinda sifa...
0 Reactions
6 Replies
542 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nchi ina maumivu makubwa sana siku ya leo,nchi ina hasira kali sana siku ya leo nikiwepo mimi mwenyewe, maumivu ni makubwa sana kuliko unavyoweza elezea,Ni aibu kubwa sana...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom