Wanasema kila kitu hutokea kwasababu, tunasikitika Yanga kudhurumiwa goli lililo halali ila pamoja na hilo Yanga imeongeza idadi kubwa sana ya watu kuwazungumzia. Lile goli limeleta gumzo haswa...
Tukio la Jana yanga kuporwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu.
Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za...
Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata
CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi
Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo...
Kwanza nasikitika kuona hata wachambuzi wakubwa kabisa wana mislead watu kuwa eti lile la Aziz K ni goli, tatizo kubwa wa TZ ni kwamba tunaangalia vitu out of professional na mahaba na kubahatisha...
Endrick mchezaji wa palmers ya Brazil katika umri wa miaka 17 tayari ana mafanikio makubwa ya kimaisha huku akimiliki mtoto mkali wa kula naye maisha.
Dah kweli maisha hayapo fear
Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza...
Kutokana na barua iliyoandikwa na Yanga juu ya malalamiko ya mpira uliopigwa na Stéphan kuwa na makosa mengi ya uandishi na claims ambazo hazikufanyiwa analysis za kutosha, kitu ambacho kimeenda...
Simba sc Timueni VIONGOZI hao wawili Try again na Mangungu ,bila hivyo mtaendelea kuharibu tu na hamtajenga timu.
TUNAENDELE KUHARIBU TULIPOISHIA?
Taarifa za Uhakika ni kwamba Simba inaenda...
Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie.
Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa.
Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga...
Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia...
Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao.
Wataalamu...
PALE Yanga hakuna MASHETANI wala MAJINI. Pale Kuna akili kubwa inayojua sayansi ya mpira. Katika mpira wa miguu akili ikikutana na pesa huwa tafarani.
Ndicho unachokiona REAL MADRID na MAN...
Binafsi nimependa hamasa iliyotolewa na rais wa heshima wa @simbasctanzania kwa kutoa ahadi ya milioni 500 iwapo timu itafanikiwa kutinga nusu fainali,lakini kama timu haitokuwa kwenye kiwango...
Salama mtasalimiwa na Refa.
Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize;
1. Kwanini hawakukusanyika kwa referee na kumtaka...
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.
Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.