Katika kikao kilichofanyika Juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu alishauliwa kujiuzulu katika nafasi hiyo, lakini hadi muda huu ameshikilia msimamo wa kutokuachia ngazi...
Leo kutakuwa na Sportpesa derby baini ya Singida vs Yanga FC mnamo saa 10:00 jioni CCM Kirumba.
Ni mechi Kali ya kusaka pointi muhimu tena kwa Yanga na mwenyeji Singida.
Kikosi cha kwanza cha...
Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara.
Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani...
ROBERTINHO: 5IMBA ILIYOPIGWA 5 NA YANGA HAINA TOFAUTI NA HII.
"Sielewi kilichofanya wakanifukuza sababu Kila nikitazama 5imba wanacheza vile vile hakuna kilichoongezeka"
"....kama walishinda 6_0...
Bayer 04 Leverkusen leo ipo uwanjani kukipiga na werder Bremen majira ya saa 06:30 pm (12 na nusu jioni).
Ikumbukwe kwamba Bayer Leverkusen wanaongoza ligi ya Bundesliga wakiwa na point 76 huku...
Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua.
Kikao kimeenda vizuri.
NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa...
Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu...
Apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha Zambia kufuzu Olympic 2024 Paris.
Wadau hamjamboni nyote?
Barbara Banda mchezaji timu ya Taifa Wanawake Zambia amepandishwa cheo na Jeshi la...
Moja kwa moja ..
Japo kwa gemu hizi mbili za karibuni hajakua na kiwango cha kuwakosha mashabiki ila nikimuangalia kwa uono wa kiufundi na kiuchambuzi pasi na touch nk zake za kiwango cha Epl...
Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa...
Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL.
Africa ujanja ujanja kila sehemu
Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape...
Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia...
Mods naombeni muuache uzi huu, jukwaa lamichezo limejaa wadau wanaofatilia zaidi michezo ya kigeni hasa mpira wa miguu
Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia...
Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari.
Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia...
Kuna vyombo vya habari mbalimbali vimeripoti kuwa Legend wa Team ya TP Mazembe na Team ya Taifa ya Zambia Chipolopolo Rainford Kalaba amepata ajali mbaya ya Gari na amepoteza maisha.
Msemaji wa...
Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile?
1. Tangazo halina vibe lolote.
2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo...
Wakati Klabu ya YANGA inalalamika kutolewa kwenye Robo Fainal na Klabu ya MALELODI ya Afrika ya kusini kwa kudai kuna Upangaji wa Matokeo
Leo ktk Mchezo wa YANGA vs SINGIDA kumetokea Tukio la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.