Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Tangu kuanzishwa kwake Mwaka 1955, Mashindano haya yamejizolea umaarufu duniani kote. UEFA CL, (Kabla ya mwaka 1992 yakijulikana kama European Cup.) Ni mashindano ya mpira wa miguu kwa wanaume...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Hongera Yanga Afrika, hongereni pia Ihefu. Mipango imeenda kama ilivyopangwa, itifaki imezingatiwa.
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Klabu ya Manchester United inafikiria kumpa kazi katika nafasi ya kocha mkuu, mkufunzi wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgates. Mmiliki mwenza wa klabu hio bwana Jim Ratcliffe, anaamini...
4 Reactions
3 Replies
416 Views
Nyota wa soka raia wa Brazil, Dani Alves anaweza kuachiwa huru kwa masharti kutoka jela kwa dhamana ya Euro Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.8) baada ya kutumikia takriban robo ya kifungo chake cha miaka...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh waziri (Ndubalo) huu siyo muda wa kutishia mashabiki wa Simba na Yanga Sc katika utani wao wa Jadi ulioota mizizi kwa miaka 80+ mpaka kwani utaonekena Kama Unawapangia namna ya kuishi. NALIA...
0 Reactions
23 Replies
940 Views
Mnamo tarehe 21 ya mwezi wa 3 mwaka 1980 hukoo Porto Alegre nchini Brazil, alizaliwa mtume na nabii wa mwisho wa Soka. Ujio wake ulitarajiwa, kwani ishara nyingi zilishajionesha kuwa mbarikiwa...
26 Reactions
266 Replies
36K Views
Leo imefanyijka press kuelekea mechi ya Yanga vs Mamelod wikiendi ijayo, lakini kitu ambacho kimenipa ukakasi ni taarifa juu ya hali ya majeruhi hasa kwa Pacome. Ally Kamwe anasema, "Kuhusu Pacome...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko. Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa...
3 Reactions
15 Replies
915 Views
Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni. "The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake...
14 Reactions
95 Replies
8K Views
2 Reactions
11 Replies
731 Views
Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa Uzi tayari.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kiungo wa Klabu ya Yanga Sc Pacome ZouZou ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast kuchukua nafasi ya Ibrahim Sangare, anayeitumikia Klabu ya Nottingham Forest ya Uingereza baada...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka nchi TFF, imemfungia wakili Damas Ndumbaro kujihusisha na mambo ya soka kwa muda wa miaka saba na faini ya kiasi cha pesa. Ndumbaro ambaye aliingia katika...
6 Reactions
132 Replies
16K Views
FOOTBALL RECORDS THAT ARE YET TO BE BROKEN 💥 Zidane Was never flaged offside in his career. 💥 Lahm (Bayern Munich defender) went one full season and half without committing a foul as a defender...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa...
21 Reactions
174 Replies
22K Views
Kuna jambo ninaliona hapa kuhusu marufuku ya waziri Ndumbaro itakavyoshindwa kufaulu ni hivi. Ikiwa watakao kagua passport za mashabiki wenye jezi sio askari wa uhamiaji bali ni FFU wale...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka. Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi...
0 Reactions
1 Replies
256 Views
Nimeshituka kuona hii habari kupitia ITV. "Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zinazoenea mitandaoni kuhusu kufungiwa kwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu.. Napenda kuleta huu uzi ulio na mapenzi ya dhati juu ya timu yangu pendwa kuliko timu zote duniani DAR YOUNG AFRICANS. Mahaba yalianza toka nikiwa mtoto mdogo sana, kweli naweza...
7 Reactions
20 Replies
752 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…