Wakuu
Sasa tunapata picha kuwa amrouche ni dalali wa wachezaji na ana wachezaji wake maalumu.
Kipindi cha mwanzo alimuacha Kevin John sababu ya nidhamu hilo tukaamini maana huyu hata kabla ya...
Wachezaji wafuatao hawana msaada ndani ya Yanga sc na wanapaswa kufukuzwa mwishoni mwa msimu huu
Joseph Guede '_ huyu hata kwa kumuangalia tu ni mtu mzima tena mzee, mchezaji kalegea kama mpiga...
Na nawaombeni leo kabla ya Mechi kuanza kuweni makini kuangalia nini Watafanya au Kitafanyika ila Mpira ukianza tu watakuwa Wanakwepana.
Pia kuna uwezekano mkubwa Wote wakafunga Magoli kwa Timu...
Kama mashabiki wa Yanga sc tutaendelea kumfumbia macho huyu kocha, tutajikuta tunaupoteza ubingwa katika mazingira ya kijinga sana. Niwakati wa wanayanga kupaza sauti zetu kuashiria kutilia shaka...
Habari Ya Usiku Wana JF hivi Scout Ya simba Sc iliangalia nini zaid kwa huyu FREDI.
HIVI KUNA MTU BADO ANASHAWISHI WATU WAMUELEWE FREDY?
Unaweza kutumia Nguvu nyingi kuwashawishi mashabiki...
Wanaspoti wenzangu kutokana na kilichototokea leo naombeni nipewe ratiba ya Vipindi vya michezo kwa Siku ya kesho kwa redio zote.
Lakini ningependa kushauri wanaspoti wenzangu hasa wale wayanga...
Manchester United imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la FA (FA Cup 2023/24) kwa ushindi wa magoli 4-3 dhidi ya Liverpool kwenye Uwanja wa Old Trafford, mchezo ambao umechezwa dakika 120...
...[emoji3538] πππΎππ ππΌ πππ½πππππΌ
LIVE UPDATES:...................
MATCH DAY [emoji759]οΈ[emoji460]οΈ[emoji460]οΈ[emoji460]οΈ
YANGA [emoji617]vs AZAM [emoji843][emoji836]οΈ
BENJAMIN MKAPA[emoji909]
SAA...
Mbio za Kiatu cha #UfungajiBora wa NBC Premier League msimu huu zinaendelea kupamba moto na mpaka sasa kileleni yupo Feisal Salum wa Azam Fc ambaye hapo jana alifikisha magoli 11 na anayemfuatia...
Yaani mashabiki ni watu wa ajabu sana, yaani kisa Azam kufungwa na Yanga na wao kuwashindwa basi inachukuliwa kama Azam wanafungwa na Yangs kwa kupenda. Kwanza hakuns derby tamu inayokuwa na...
Wananchiiiii πππ nikisema nyie ni mazuzu nitakuwa nakosea? Eti uwanja mpaka siku mkiuchomoa huo mwiko ndio mtakuwa na akili.
Hivi uwanja wenu utakuwa unaingiza mashabiki wangapi?
Contractor...
Machi 10, 2024
Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania
[TFF]
KUMB: Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC
Mpendwa Mheshimiwa/Bibi,
Tunakuandikia kukuletea jambo...
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa...
Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya El Geish ya ligi kuu ya Misri Himid Mao, akemea vikali vitendo vya shabiki au mchezaji kwenda kutoa mataulo ya makipa golini katika ligi...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imewafungia kwa miezi sita kuingia viwanjani kwenye michezo ya michuano yote ya TFF, mashabiki wanne walioonekana kupitia video kwenye mitandao ya kijamii...
"Maisha Bila unafiki hayaendi ,wakati nazungumza wakati wa AFL kuwa Al Ahly wako unga mashabiki wa Simba SC walinishambulia Kwa kuwa nilisema Ahly alikuwa anacheza tu dhidi ya Simba SC ,lakini...