Baada ya kuona dozi nzito zinatolewa na wananchi ...de Yanga Kwa timu pinzani nimeona nifanye research kidogo Kwa kuwashirikisha ndugu zangu humu
Tujikumbushe...hizi ndizo baadhi ya timu...
Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, amechaguliwa kuwa Mwanamichezo Bora wa Tanzania kwa mwezi Februari , 2024 katika tuzo zinazotolewa na chama Cha...
Nimesikia Kuna mashabiki wakitamba kuwa Al ahly atapigwa goli 3 bila wengine wanaropoka kuwa "mwarabu atapigwa sita maana kwamkapa hatoki mtu"
Kwa mtu timamu mwenye akili timamu na weledi wa...
Nimeiona barua ya Azam FC kwa vyombo vya habari.
Kiufupi barua imekaa ki-unproffesional kinoma yaani. Kwanza kabisa kama klabu imepokea offer kutoka vilabu viwili tofauti kwanini Klabu ingoje...
Ligi yetu inakua ila baadhi ya wachezaji na mashabiki bado Wana fikra za kipuuzi na za kizamani. Ni upuuzi kwenye ligi kuu ya nchi kuwa na wachezaji wanaoamini goli halipatikani sababu ya taulo...
Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ......
Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend (...
Hii ndo kauli rasmi ya serikali yetu tukufu kuelekea Mechi za robo fainali CAFCL ili kuzivusha Simba na Yanga zitakapokutana na Ahly na Mamelody uwanja wa Mkapa March 29&30, 2024. Hongera serikali...
Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex
Kikosi
Game ishaanza...
Taarifa hizi ni kwa mujibu wa kipindi cha michezo cha global TV kinachoitwa kross dongo. Inasemekana jina lake lilikuwepo kwenye orodha ya wachezaji waliopendekezwa na scout ya simba mwishoni mwa...
Nimeangali clip za magoli mawili ya Yanga yalioyofungwa na Pacome na lile la Azizi k nimegundua yametokana na udhaifu unaofanana lakini hii inaweza kuwa ndio mbinu ya Yanga ya kimchezo...
Huyu jamaa anayejiita Kazumari ni nani katika mpira wetu? Mbona naona Tff wanamhusudu sana.
Upande wangu namwona ni kati ya watu wanaoharibu mpira wa nchi hii mosi jamaa ameshindwa kuficha chuki...
Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea.
Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge...
Nimekuta watu wanacheza draft na wanabishana kuwa hilo ni supa.Nikaamua kupiga picha hiyo niwaulize je hili ni supa au sio supa?
ZAMU YA MWENYE NYEKUNDU
Sijui kwanini timu za mkoani zinapenda sana kutoka sare!
Yaani neno ushindi kwao ni msamiati ambao haujazoeleka
Hebu angalia mfano mechi ya jana ya yanga dhidi ya geita! Yanga form ilikuwa ipo...
Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea.
Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge...
Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya CAF champions league Simba na Yanga, watakuwa na kibarua kigumu cha kumeenyana na miamba ya soka la Africa. Simba watatangulia kucheza siku ya Ijumaa...
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Uingereza FA limepokea muongozo kutoka UEFA kuwa kuanzia msimu ujao timu 8 kutoka nchini humo zitashiriki mashindano ya ulaya,5 zitashiriki mashindano ya UEFA...
Hii kitambo sana ni 2014 Wanajukwaa wengi Bado hamjaja mjini kuishi Kwa dada. Yanga anampasua Al ahly BAO Moja GOLI la Nadir Harunu Cannavaro. mashabiki wa Simba wanachukizwa na ushindi huo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.