Huyu mheshimiwa alianza kujulikana kwenye soka pale Singida United ilipopanda daraja, wote na Mo Dewji walikuwa Singida United, Mo akiwa sponser huku Mwigulu akiwa mwenyekiti, wakashindwana...
Nimekumbuka hapo katikati hasa kipindi "African Football League" inakaribia kuzinduliwa, Serikali ilikuwa inaongelea umuhimu wa kuwekeza kwenye "Sports Tourism" au "Utalii wa Michezo". Tafsiri ya...
Kwemaaaa?
Hawa watu sijui wapoje, wao muda wote wanajadili yanga utadhani wao hawana mechi,.
Mbumbumbu tumieni huo muda kujadili namna ya kumtoa mwarabu, ohoooooooo msije mkasema hamkuambiwa
Hope mko poa wakuu na weekend hii.
Moja kati ya tatizo la kudumu sana kwenye league yetu NBC premier league ni pamoja na ratiba ya kumaliza msimbmapema.
Ukiuliza ni kwanini wanasema makombe ni...
Hii sio haki, hata kama ni droo prediction Baada ya kutoa kitufe kuona ni hivyo wangefanya hata manuva kama yale yaliyofanyika juzi huku dunia ya tatu...
Side A una
Atletico
Dortumund
PSG...
SIKUTAZAMA moja kwa moja mechi ya Tanga ya fainali ya Ngao ya Jamii, mechi ya Simba na Yanga. Nilichoamini tangu siku hiyo kilikuwa tofauti mno na nilichokiona nilipoyatazama marudio ya maonesho...
Wachezaji wa klabu ya Simba, Kibu Denis na Mzamiru Yassin wametozwa faini ya Sh. 1,000,000 kila mmoja kwa kosa la kuondoa taulo la mlinda mlango wa Coastal Union litilokuwa limewekwa pembeni ya...
Mtujuze sasa mna followers wangapi kwenye channel yenu ya whatsapp.
Kama ni likes tu hata Haji Manara anazo mamilioni huko tik tok, Ila hana hata followers 10 kwa channel yake ya whatsapp
Huyu mwamba ni nomaa. Aishi Manula pole sana huwezi kushindana na huyu mwamba katika nyanja zote zilizowazi uwanjani labda umroge.
Jamaa ni bonge la sweeper na bonge la nyanda.
Ni kipa bora...
ndugu zangu wapenda mchezo wa draft kuna sheria inachanganya watu wengi sana katika mchezo huu. swali liko hivi.
je itakuaje endapo utafika king halafu mpinzani wako hana/hajala kete hata...
Katika Biblia takatifu yapo majina mengi ya watu wa Mungu waliotenda Makubwa.
Jina la ENOCK, wengine huliandika HENOCK, Kwa Kiswahili cha Mvita ENOKO au HENOKO ni jina lililobeka sifa ya kipekee...
Aziz Ki sio striker ni kiungo ana goli kumi na tatu hadi muda huu na ligi ndo kwanza bado ina mechi za kutosha. Kama ataendelea na consistency hii ( of which I blv he will) anaweza kumaliza na...
YANGA NDIO TIMU PEKEE YA TANZANIA AMBAYO INAWEZA KUCHEZA NA MAMELOD SUNDOWNS
"Daraja la ubora wa Mamelodi liko juu zaidi kuliko Yanga, lakini ukitazama mara ya Mwisho Mamelod kubwa bingwa ni 2016...
THIS MAN KAHALID AUCHO!!
Today, I choose to remember and celebrate Khalid Aucho.
There have been midfielders in the KPL and then there was one Khalid Aucho alias "Anti Da Lost One"
He was more...
Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.