Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi...
1.Its called team of citizens "timu ya wananchi" because its owned by fans (51% shareholding).
2. Its most popular team in Tanzania with huge fan base approx more than 35 millions fans that are...
KISASI NI HAKI🔰
Mwaka 2001 Yanga ilikutana na Mamelodi Sundowns katika hatua za awali kwenye ligi ya mabingwa barani Africa .Mamelodi ilikua ya moto kwelikweli ikiwa Chini ya Mwanamama Natasha...
... 🔖 𝙉𝘼𝙉𝙄 𝙕𝘼𝙄𝘿𝙄 ?
Baada ya ushindi wa Simba (6-0) dhidi ya Jwaneng nimeona mijadala mitandaoni watu wakibishana nani zaidi kati ya Chama na Pacome ?! Nami nimeona nisipitwe na mjadala huu. Kama...
Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wetu, Prince Dube, raia wa Zimbabwe.
Ofa hizo zimetoka katika vilabu vya Simba SC ya Tanzania na Al...
1. Ayoub Lakres ameanza kulewa sifa
2. Che Malone Fondoh amekuwa beki mbovu sana kutokana na makosa ya kitoro anayofanya
3. Babacar Sarr asiwe anaanzishwa kwani leo timu ilikuwa na uhai sana...
Timu ya Taifa ya Riadha wameondoka leo na kuagwa na Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania Silas Lucas Isangi na Kaimu katibu mkuu wa RT Wakili Jackson Ndaweka katika uwanja wa Kimataifa wa...
Huwezi kuwa bora, bila kushindanishwa kisha kushinda dhidi ya walio bora kuliko wewe, naam, kuelekea mchezo wa Yanga afrika dhidi ya masandawana, tathmini yangu fupi ya kina kabisa imeleta...
Asalaam Aleikum,
Hopefully kila mtu kapokea results za quarter finals za CAFCL kwa namna anayoijua yeye. Sisi kama Mashabiki wa Young Africans tumefurahia kwa kiasi kupangwa na Mamelodi na furaha...
"Kuna Maisha baada ya uchaguzi"
Hii ilikua kauli ya Mzee jakaya kikwete akiwaasa watanzania wasichanganyikiwe na mambo ya uchaguzi wakasahau kua kuna Maisha mengine ambayo ndio halisi baada ya...
Yanga play like big European clubs
I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for...
Sio mimi niliyewapangia Mamelodi, mnanituka bure, matusi mnayonitukana yawarudie wazazi wenu wote na familia zenu, watukaneni CAF.
Nyie mnasema mna uwezo wa kuikabili timu yoyote, vipi leo...
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae...
TFF tunaomba mfikirie umuhimu wa mashindano, ubora wa mashindano na vipaumbele vya mashindano. Kwasasa timu ya Simba na Yanga zina mechi muhimu sana ya klabu bingwa hatua ya robo fainali na...
Salaam Wakuu... mimi kama mwana yanga kindaki ndaki napendekeza yanga ikate rufaa kuhusu droo ya caf... sababu ni ugumu wa timu tuliopewa ukilinganisha na kikosi chetu.
Hili linakuja baada ya...
Baada ya ushindi wa goli 3 Jana wa Simba dhidi ya wachovu Singida fountain gate zile kelele kwamba Gsm anasponsor timu zote za ligi kuu zimekwisha/zimepungua.
Kama watoto wa Tff Jana wangefungwa...
Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa.
Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia...
Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam.
Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.