Nasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama.
Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
Ndugu yangu Oruma unaijua Mamelodi ya miaka 7,?? Ndio Mamelodi iliyobeba ubingwa? Pengine hujawaelewa mashabiki wa Mamelodi. Nafikiri Mashabiki wa Mamelodi wameona namna mradi wa Eng @caamil_88...
Baada ya droo ya hatua ya robo fainali ya michuono ya caf champions league kufanyika hapo jana, kumekuwa na hisia mchanganyiko kuhusiana na timu zilizokutanishwa kukabiliana na wawikilishi wawili...
Kwanini mkataba kama huu usihojiwe? Mdhamini mkuu wa ligi (NBC Bank) mkataba wake unahojiwa,huu wa GSM na TFF kwanini usihojiwe?
Ndiyo maana marefa mpira ukigonga mwamba ukarudi uwanjani filimbi...
Huwezi kufanya mazoezi huku mmejifunika uso, halafu mnapiga mashuti yasio ya kawaida.
Mnafanya mazoezi huku mnalia sana, mnaomba mechi iwe hata kesho, hii sio sawa
Nikiwa kama mdau wa soka safi hapa duniani huwa napenda sana kuona jinsi timu ya mamelodi sundowns kutoka nchini Afrika ya kusini jinsi inavyosakata kabumbu .
Karibuni marafiki na wadau wote...
Ndio timu zetu mbili Yanga na Simba zinakibarua kigumu kwani zimepangwa na vigogo wa Soka la Afrika MasandawanaMamelod na Al Ahly mtawalia.
Ndio wakati wa Afrika na Dunia kuitambua Tanzania, ndio...
Mashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili
Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia...
https://www.youtube.com/watch?v=Wi1gdJiCIt4
The Quarter-Final draw for the 2023/24 TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted Today, 12 March...
Na kuna Timu moja hapa Afrika licha ya kuwa inacheza Mpira wa uhakika, ni Tajiri wala haitegemei Kuuza Godoro la kuumiza Migongo
Ina Wachezaji ambayo Bajeti yao ni Bajeti ya Miaka 10 ya Majini...
Mimi kama shabiki wa Soka na mfuatiliaji wa Ligi ya NBC, nimefurahi yanga kufuzu lakini na Simba Ina chance ya kufuzu 50/50.
Kwa uwelewa wangu timu sita tayari zimeingia robo fainali, ikiwemo...
Nimekuwa najiuliza sana maswali bila majibu, hizi team za Singida zinakumbwa na tatizo gani?
Ilianza Singida united, ikaja vizuri kabisa na Mashabiki wa mpira wakajua kwamba mpinzani amekuja...
Jinsi wanavyojiona ni timu tishio kisa tu walimfunga simba kwa kubahatisha goli 5-1 , hawa watatolewa kirahisi sana na Mamelod.
Kwa mkapa watapigwa 3-1 na kule south watapiwa kama walivyopigwa na...
Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.
Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina...
TFF tunaomba mfikirie umuhimu wa mashindano, ubora wa mashindano na vipaumbele vya mashindano. Kwasasa timu ya Simba na Yanga zina mechi muhimu sana ya klabu bingwa hatua ya robo fainali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.