Kauli ya mashabiki wa Yanga ikiwaelekea SINGIDA BIG STARS ikisema " Tafadhali Singida msuruhusu goli 5 kwenye Mechi ya leo"
Niwazi kuwa Mashabiki wa Yanga wanataka ushindi wao wa Goli 5 uzidi...
Ahly hawawezi kuja kucheza hapa hata Mechi ya kirafiki. Mamelody wasingeweza kuja hapa hata kwenye tamasha la Wananchi maana wamejaribu mwaka jana lakini ilishindikana.
Lakini uwezo wa Simba na...
Hongera Yanga SC, hongera Tanzania. Kutoka kwenye msitu wenye zaidi ya miaka 200, imekwisha onekana Yanga atakutana na Tp Mazembe kwenye final match ya CACL.
Safari ya mbali haiagwi.
Halafu msisahau Sisi tulipowafunga wao walikuwa na Kikosi dhaifu na Mgogoro mkubwa Klabuni kwao wakimtaka aliyekuwa Kiongozi wao Lyoed Nchunga ajiuzuru.
Na nakumbuka Usiku wa kuelekea Mechi hiyo...
Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati...
Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala...
Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na...
Kesho ndio ile siku ya ufunguzi wa AFRICAN FOOTBALL LEAGUE( AFL) ambapo mechi ya ufunguzi itazikutanisha Simba S.C ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.
Tupia utabiri wako hapo chini
Mechi hii Ni muhimu kwa Simba kutafuta points 3 muhimu ili kujiweka nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya robo fainali
Mechi inatarajiwa kuanza saa Kumi kamili jioni hii
Kikosi Cha Simba tayari kimetoa...
Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika...
Wananchi niwatoe pressure Yanga anakwenda nusu fainal huu msimu, najua watu watapinga sababu ya mpinzani anayekutana naye ila muda utaongea vizuri.
Kwa sasa ni vigumu kuwaambia kwamba yanga...
Nimepita kwenye vijiwe nongwa vya mtaani nakusikiliza mashabiki wa kariakoo (sunche na kapeto) wanavyopiga hesabu za kutoboa robo mpaka fainali Tena hesabu nyepesi kabisa utadhani robo Kuna...
Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao.
Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee.
Saiv najua bado...
Miaka minne nyuma hawa utopolo walikuwa sio chochote sio lolote kwa simba, tuliwatania kila aina ya matusi na kejeli, mara bakuli fc, mara utopwinyo fc, mara kabwili fc n.k
Haya matusi na kejeli...
Match Day
[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Namumgo FC [emoji739] Young Africans SC
[emoji414] 08.03.2024
[emoji909] Majaliwa Stadium, Lindi.
[emoji797] 12:00 Jioni
Kikosi Cha Yanga Leo...
Kuna wimbi la mashabiki, wachambuzi na wadau wa soka wakihoji uhalali wa goli la tano. Kwa wenzetu walioendelea mambo kama haya yameshapitwa na wakati ila kwa nchi zetu za kimasikini bado...
Kuna wachezaji wabovu hasa wa kigeni waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe na timu za Simba na Yanga ila wakaishia kuondoka nchini kimya kimya kutokana na uwezo wao mdogo hata kufikia kushindwa kiuwezo...
"Kitu kimoja kuhusu mpira wa miguu hakuna kinachodondoka kutoka angani, wakati wanaanza project yao wengi hawakuamini watafika popote, ila Wahuni walifahamu wanachokiandaa kifupi The Premier...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.