Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu jamaa alisajiliwa kwa kelele nyingi sana plus vifijo na nderemo, hoja yao kubwa ni kwamba yanga wanamtaka basi bila kufanya scouting wenzetu wakajibebea chapu. Ila jinsi muda unavyosonga...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
1- Man U 2- Arsenal 3- Man City 4- Newcastle united N.B Liverpool watakuwa wa 6/7! Chelsea watakuwa wa 14/15
7 Reactions
73 Replies
3K Views
Okra magic jana "KAPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI" kifuti, ni baada ya kutaka kujaribu kugombania mpira wa juu, aliye mpiga ni mchezaji wa "KIKOSI MAALUMU CHA VALANTA ZANZIBAR" Alipoteza fahamu...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
1. Yanga 2. Singida FG 3. Azam 4. Simba Weka yako tuone
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari Mwana-Jukwaa La Sports. Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana. Ulaya kwenye Nchi zenye...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wana JF, Kwa soka amapiano lilioonekena Jana Kwa macho ya kiuchambuzi nimeona Yanga akiwa bingwa msimu huu utakaoanza mwezi wa 8, hii timu inatisha. Yanga wana posess, Mkude anapiga basi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mienendo ya Simba na Yanga, kwa Upande wako unadhani nanii anatabiriwa makubwa kwa huu msimu 2023/2024?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Simba imebakisha mechi ngumu sana ukilinganisha na Yanga, Simba ikacheze ugenini na Namungo, imfuate Ihefu, imfuate Mtibwa, icheze na Yanga ambayo hatujaifunga tangu mwaka 2019, hatujacheza na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nisikilizwe Nina hoja! Baada ya hivi karibuni kutangaza kufanya maamuzi magumu tena ya kishujaa ya kumkufukuza mke wangu hapa nyumbani na kumrudisha kwao, kutokana kuninyima uhuru wa kuishangilia...
14 Reactions
39 Replies
2K Views
Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukimtoa kipa Diara moja Kati ya Makipa Bora kwa Sasa Tanzania na Africa, Kuna combination ya viungo wakabaji Simba la kati. Namzungumzia Maestro Mudathr Yahya na Dr wa football Khalid Aucho the...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 ASFC ⚽️ Young Africans SC🆚Polisi TZ 📆 20.02.2024 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania Mpira umeanza Dakika ya 13 Goaaaaaaaal Guedeeeee Dakika...
5 Reactions
315 Replies
15K Views
Yanga wameamua kumsajili kiungo aliyeachwa na Azam kama mchezaji huru. Wenyewe hawajafurahia wamenuna sasa cjui walijua anatambulishwa nani. Wameanza kutupigia mabomu huko insta toka juzi...
8 Reactions
76 Replies
6K Views
Moja ya viungo punda hapa nchini ni Mudathir Yahya, nimesikia azam wameachana naye, azam wamefanya kosa kubwa sana, Mudathir ni mahiri sana na ana uwezo mkubwa sana wa kuzunguka dimba la chini na...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi Mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya nani au ndo yale ya kina Ngushi...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Sina neno picha imejitosheleza.
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Sinema inaanza Steering akiwa Aish Manula. Tambala linaitwa SimbaVsPrison. Ghafla watazamaji wanaanza kumzomea Steering sababu ya; Hafai[emoji441][emoji441] Mpuuzi[emoji441][emoji441] Kaisha...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwa Umri Alonao Mpenja ni Dhambi Kubwa Sana Kuwaongopea Watoto wa Mama Kizimkazi Kwamba Sio Simba & Yanga ni Dhambi Kubwa Kama Kuzini Mchana wa Ramadan....!! Hadithi ya Mpenja Kuwa ni Shabiki...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimekuwa shabiki wa soka kwa muda mrefu sana. Kwa muda wa miaka 20 sasa. Nimeangalia mechi nyingi sana na za kutosha, zaidi ya 1000 hadi leo hii. Toka enzi za goli la dhahabu hadi leo hii ambapo...
22 Reactions
145 Replies
6K Views
Back
Top Bottom