Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Kama umefuatilia mechi za Yanga karibuni utagundua wakicheza na timu dhaifu au vibonde wanakamia na kuzipopoa goli nyingi kwelikweli ila wakikutana na timu za super league wanaufyata Hili tunaita...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Naona mashabiki hoyahoya wa Simba wanalalamika eti GSM anaharibu ligi yetu kwa kudhamini klabu nyingi. Baada ya kushindwa uwanjani mabwana wale wamehamia kwa GSM kumlaumu anadhamini timu...
7 Reactions
7 Replies
499 Views
Hiii sio Bahati Mbaya. Diamond Platnum aliwahi Imba Nyimbo Moja inaitwa. Mdogomdogo.
3 Reactions
10 Replies
915 Views
Meneja wa Aishi Manula, Jemedari Said awajia juu viongozi na mashabiki wanaomlaumu Aishi Manula kwa kufungwa nabangula. "Kuna timu zinajimilikisha UHALALI WA KUSHINDA tu kwenye ligi yetu, zenyewe...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Azam FC ilimpata Fei kwa maagizo ya Rais, hawakufuata taratibu za TFF kwanini Dube haitaki Azam lakini afuate taratibu?
11 Reactions
103 Replies
4K Views
"Tuviheshimu sana vilabu vyenye viwanja vyao na tuwaunge mkono, Azam FC, Mtibwa Sugar, IHEFU kabla ya kuuzwa na kutelekeza uwanja na JKT Tanzania, angalia Simba SC wanavyodhalilika ma viwanja vya...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba. Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama mliweza kuwafunga goli 5 nina uhakika mkikutana tena mnaweza kuwafunga goli 9 au 12. Kwa ubora mlio nao kwa sasa na unyanya walionao Simba ya sasa nawashauri kaeni chini mkubaliane kuweka...
5 Reactions
17 Replies
861 Views
Mzuka wanajamvi! Ni mechi inayosubiriwa kwa hamu sana na wapenzi wa mpira duniani. Ni kati ya mabingwa wa uingereza Fa premier league Manchester City dhidi ya Liverpool. Ukizingatia msimamo wa...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Wadau kutokana na Mafanikio ya YANGA na SIMBA ktk Michezo ya Champion league nasikia tumeongezewa timu za kushiriki Champion League je ni kweli? Kama ndio tumepewa Timu zetu ngapi zitakazoshiriki?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkurugenzi mpya wa masoko, wanachama na mashabiki wa klabu ya Young Africans ndugu Ibrahimu Samweli anatoa wapi mamlaka na uhalali wa kuvunja uongozi wa kuratibu shughuli za matawi ya yanga...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimeiangalia arsenal ikiwa chini ya arteta kwa misimu kadhaa Mpaka msimu wa mwaka jana alikuwa anacheza mpira wa kivulana sana/mpira usio na malengo Ila msimu huu ameongoza kitu Na amebadilika...
4 Reactions
13 Replies
624 Views
Wakuu. Kumeibuka mjadala mkubwa juu ya uwezo wa golikipa Aishi salum manula kuwa wapo wanaodai kiwango kimeshuka sana lakini naona yule bado sana. Ujue manula ni muhanga wa mazingira! Ndiyo ...
1 Reactions
1 Replies
305 Views
Wadau njooni tuangalie kwa pamoja LINK [emoji107] https://methstreams.com/boxingstreams/dazn-joshua-vs-ngannou/
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Tukubali tukatae yanga ya sasa siyo kinyonge aisee, kuna mashabiki wakati yanga inapoteza nyumbani kwa CR, watu wengi sana walisema yanga atamaliza kundi wamwisho na hatopata point(poor mindset)...
13 Reactions
68 Replies
3K Views
Tangu jana mwekezaji wa Simba alipopost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa amesikia kilio cha mashabiki wa Simba cha kutaka klabu yao iwe na uwanja wake wa kuchezea mechi za nyumbani...
9 Reactions
51 Replies
7K Views
Hivi viongozi wa simba huu uwanja wa majaliwa stadium hamjauona mpaka mkachague uwanja wa jamhuri moro mliwaza nini? Mmh?
3 Reactions
12 Replies
895 Views
Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo. Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo. Updates Dakika ya 45+3 Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula. HT Simba 0-1 Tz Prisons...
9 Reactions
861 Replies
43K Views
Back
Top Bottom