Simba ilipozindua WhatsApp channel yake, hadi CEO Imani Kajura akafanya press conference kuhusu uzinduzi huu. Binafsi na wengi wetu tuliona hii siyo issue kubwa kihivyo na tulikwazika pale...
Yanga na Simba kwa nyakati tofauti zimewahi kulitawala soka la Tanzazni na kuwa na mafanikio makubwa, ila hatujawahi kuona mojawapo ya hizo timu zikitandaza soka maridadi kama la hawa vijana wa...
Kuna upepo hivi sasaa unasambaa kama moto wa petrol kuwa inakuwaje kwenye ligi moja mdhamini aweze kudhamini timu 6 kwenye ligi moja? Kwa maana hiyo hizi timu ndogo zinazodhaminiwa na GSM zinaipa...
Simba ni kama sikio la kufa tu hata uliwekee Boric Acid ear drops hamna kitu.Simba wamebaki kumpigia promo GSm na kuacha kumpigia Promo boss aliyenunua timu yao mo.
Kwanini Simba wanalia sana na...
Azam anamiliki timu kwenye ligi ni mdhamini wa ligi kuu yote wakati GSM anadhamini timu za Yanga, Namungo, Coastal na Singida tu. Kwanini kuna watu wanataka kuonyesha kuwa GSM anainuisha yanga...
Walianza KMC, wakaja JKT, wakaja Simba baba lao leo limewakuta Ihefu achana na wale waarabu wa Algeria.
Hizo timu zote tajwa walizikosea Yanga heshima wakataka kupishana na Yanga kilichowakuta...
the 2023/24 season. Their relentless work ethic, tactical prowess, and ability to exploit spaces have made them a formidable team. Let's delve into what makes this young squad so intriguing.
The...
Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2...
A SON OF ANYAMA ATTOULAJ YAO IS GREEN AND YELLOW ||
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja.
Yao ni moja ya...
Miaka yote ya nyuma ilikuwa ni mwiko mshabiki wa Yanga kuipenda wala kuonyesha hisia zozote za kuvutiwa na jezi nyekundu kiasi kwamba mashabiki wa Yanga walikuwa wanapata wakati mgumu sana...
Nani asiyejua kwamba ihefu imeshachoka? Acheni kujisahaulisha hata Namungo anaweza ipiga 5
Ukweli usemwe tu ushindi huu wa Yanga hakuna cha kushangaza nan asiyejua kwamba Ihefu imechoka na...
Simba 4 - 0 Yanga. Kaseja anafunga bao la 4 kwa penalti. Okwi amefunga 2 na Sunzu kwa penalti. Hadisasa mashambulizi ni makali simba wanashambulia sana.
Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga. Kama malalamiko hayo...
Viburi vyote vitatuisha kesho, huo sio utabiri, ni uhakika. Am not Mugo wa Kihiri in Kusadikika, someone who could predict what is will happen in the future.
Am sure 💯 draw kesho ni hiyo.
Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ?
Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho...
Msimu uliopita kabla ya Fiston na Saidoo ntibazonkiza kombe lenu lilikua George Mpole.
Naomba mje mtamke mapema kabisa awamu hii kombe lenu ni Feisal Salumu au Waziri Jr??
NB: kombe la mdhamini...
Naanza na SAGAI GALGANO na mwingine ni maarufu ila nimemsahau jina na leo kabla ya mechi alitutia mno joto wana Yanga SC hapa jamiiforums kwa threads zake za mikwara mbuzi.
Hii ndiyo Yanga SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.