Baada ya filimbi ya mwisho ya mchezo wa Leo dhidi ya namungo fc, Nimepokea simu toka kwa jamaa zangu mbalimbali waliopo hapo bongo land, kuhusu hali ya wasiwasi iliyozuka kufuatia ushindi mnono...
Ukiangalia msimamo na ushindi walio upata wamekaribia kabisa kuwa mabingwa kwa msimu wa 2023/24.
Wanahitaji kushinda mechi 5 tu kati ya 10. Hapa ni kama wapinzani wake nao wanaendelea kushinda...
Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City .
leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
Kama Simba sc tulikua tunasubiri kupata mrithi wa Kapombe Basi niseme kwamba mrithi ameshapatikana kikubwa aombewe dua avuke salama kwenye safari yake ya soka.
Mwenda[emoji123]
Huu ndio ushauri ninaoupeleka kwa Bodi ya wakurugenzi ya Arsenal, Washabiki na wapenzi wao.
Arteta hana uwezo wowote wa kufundisha timu kubwa kama Arsenal, hana kitu na wala uwezo wake hauna...
Habari zenu wadau wote wa jukwaa hili la michezo, kwanza kabisa niseme tu mimi nimekua nikafatilia Kwa club michuano hii mikubwa kwa ngazi ya vilabu barani Africa.
Nikitazama kwa jicho la...
Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae...
Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.
Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha...
#trusttheprocess
Msimu wake wa mwisho akiwa kocha wa Manchester United José alipata kichapo kutoka kwa Sevilla na akatupwa nje ya mashindano ya UEFA.
Pamoja na kebehi zake nyingi na majigambo...
Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kocha huyu kutengeneza upya timu iliyokuwa imeshapoteana.
Mpaka wakati huu tayari ameshinda michezo minne mfululizo katika ligi ya Uingereza (EPL) na inatarajiwa...
Ni suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance
Huenda mwakaa huu TZ tukafanya. Mageuzi ya mpira; Yanga...
Habari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa
Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto
Andres Iniesta Kondoo fulani katikati ya msitu wa mbwa mwitu wakali
Ile picha ya kibabe sana, aliipiga 'Felipe Mondrovera' wa 'Getty images'. Ilikuwa Juni 10 2012 mechi ya kwanza ya EURO...
Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days...
Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika...
Habari Mwanajukwaa la Sports.
Nianze kwa kusema;
Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na...
Hii timu yangu natamani waache propaganda ingewezekana waachane na media wajifiche sehemu wajinoe haswa, Hizi propaganda za Ahmed Ally ipo siku atakuja kupigwa mawe, jamaa akiongelea kuhusu Simba...
Wakuu kwema.. Hivi hawa watu nyie mnawezaje kuishi nao? Mbona ni watu wenye uelewa mdogo sana na huu mchezo wa soka?
Kuna jamaa zangu ni mashabiki wa Simba hapo juzi kabla ya mchezo wa Simba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.