Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu za Algeria huwa na kawaida ya kutotishika na mambo yoyote yanayofanyika nje ya uwanja. Wao wanachojua ni kutembeza boli na hii imezifanya timu zake nyingi kupata matokeo mazuri kwenye mechi...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
MUHIMU - Kila timu inapewa pesa ya nafasi iliyofikia na sio kila hatua, ikiwa timu itaomba pesa za usafiri, malazi, vyakula, n.k. Mashindano yakiisha watalipwa kiasi kilichobakia baada ya kutoa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari ya usiku huu wana JF Hapo hakuna cha zaidi ya kusema kuwa Yanga jumamosi anaenda kulitia albu Taifa la Tanzania. Sababu ya kwanza Tanzania Hakuna timu ya kuifunga hiyo timu. Timu za...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza hongereni timu ya wananchi. Hakika mmeonyesha kile ambacho mashabiki zenu walikuwa wakitegemea na kazi bora ya viongozi chini ya Hersi. Tofauti yenu na Simba kwasasa ni kubwa hilo halina...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao. Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli. Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama NKANA serious!!! Hii...
4 Reactions
9 Replies
804 Views
Watanzania hasa mashabiki wa mpira tunajificha kwenye kivuli cha utani wa jadi ila uhalisia watanzania tuna roho mbaya, wivu, kijicho, mtimanyongo, unafiki, majungu...nk Full time Yanga 4...
6 Reactions
3 Replies
564 Views
Bila unafiki wowote naomba niwapongeze sana kwa kikosi bora na uongozi wa watu wenye maono. Ninaomba radhi kwa maneno mabaya niliyowahi kusema juu yenu nikiamini kuna michezo isiyo ya kimichezo...
34 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni kosa kubwa sana hienda kuwahi kilifanya katika maisha yangu. Bila shaka inafaa nitandikwe viboko 10 na nikatiwe umeme wa Tanesco kwa muda wa siku 10 bila huruma yeyote. Sijawahi kuona mtu...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema... Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya...
27 Reactions
105 Replies
8K Views
Yanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa Mmethibitisha kweli hakuna kisichowezekana kwenye mpira Nikiri Yanga niliwakejeli sana walipofungwa goli tatu...
9 Reactions
15 Replies
998 Views
Naamini Yanga anaenda Robo Fainal, Simba habari yake imeshakwisha, hatoboi, Wydad anaimaliza game kwake. Mpaka sasa Yanga ananafasi kubwa ya kwenda mbele; na mimi naona ni bora apite Yanga...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Game kali Sana,mwarabu bado kidogo apelekewe moto. Mechi iishe draw,yanga --- Mchezaji wa Al Ahly El Shahat aisaidia timu yake kushinda bao 1-0 ugenini dhidi ya Mabingwa wa Ghana Madeama...
1 Reactions
79 Replies
4K Views
Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu. NB...
16 Reactions
102 Replies
7K Views
Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea. Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi. Katika Fainali hiii nyie...
12 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama ilivyo ada na taratibu za football basi Yanga wajiandae. Wachezaji kama Aziz Ki Diara na pacome itakua ngumu kubaki nao msimu ujao.
3 Reactions
10 Replies
905 Views
Habari za wakati huu ndugu wana jamvi hili. Napendwa kueleweshwa ni kwa namna ipi ninaweza kupata mafunzo ya utefarii yaani waamzi wa michezo hasa mpira wa miguu kwa hapa nchini. Napenda...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ngoma ipo live Fransictown Stadium Botswana. Matokeo ya mechi hii yana athari kwa nafasi ya Mnyama Simba Sc kutinga robo fainali. 9' JG 0-0 Waydad
5 Reactions
68 Replies
4K Views
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu ametoa rai kwa wakazi wa Mkoa huo hususan wafanyabiashara kutumia fursa za kibiashara zinazotokana na mbio za Kilimanjaro Premium Lager International...
3 Reactions
8 Replies
814 Views
Kadri soka letu linavyozidi kukua, eneo hili ninaona kama halijongei. Kwanini tunaweza zalisha International players kama Samata, international clubs kama Simba, FIFA's class referrees...
1 Reactions
12 Replies
434 Views
Mm binafsi matokeo ya jana yameniburudisha kidogo ingawa naamini Simba ingekuwa na ubora ninaoujua mimi, jana ilikuwa na uwezo wa kufuzu bila kuangalia gemu ya leo ya Gwaneng vs Wydad wala mechi...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…