Klabu ya Manchester United inahofu kuwa kuna uwezekano wa kumkosa beki wake, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu huu wa 2023/24 kutokana na majeraha yanayomsumbua
Shaw alipata majeraha ya misuli ya...
Naomba kufahamishwa kuna wachezaji wao wanachezea miguu yote,akitaka kutoa pass au kupiga mpira siyo tabu,je hiyo miguu yote huwa ina uwezo sawa na nguvu?
Je kuna wachezaji bora zaidi wanaotumia...
Kile kipogo cha Nov 5 bado kipo akilini mwa wana Lunyasi wengi, Ukitaka kuthibitisha hilo angalia reaction yao kwny nyuzi za mechi za Yanga.
Niwaombe wana Simba wenzangu tukubali tuliteleza na...
https://youtu.be/f4cibI2UnRk
https://youtu.be/yAKF2bOrZ1A
Pia soma:
Australia's Got Talent 2022 The Amazing Ramadhani Brothers from Dar es salaam Tanzania
Ramadhani Brothers waibuka washindi...
Kwa wale wote waliwahi kuzionja goli 5 kutoka kwa Young Africans bila shaka watakuwa wanauelewa utamu wake namna ulivyo!
Kama ulikula keki vipande 5 na bado hukuridhika,basi usiwe na shaka wewe...
Wasalaam wakuu!
Mara kadhaa nimekuwa nikiwafuatilia na kuwasikiliza baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kimichezo nchini, kupitia vipindi vyanzo mbalimbali vya habari, na nimegundua kuwa tasnia...
Kocha Jose Mourinho (60) kwa sasa hana timu, rekodi zinaonesha amefukuzwa kazi mara 6 katika maisha yake ya Ukocha.
Uamuzi wa kumfukuza kazi umemfanya kukusanya jumla ya Pauni Milioni 80 (Tsh...
Kwa matokeo wanayozidi kuyapata wananchi huku kwetu Wana lunyasi tunapitia kipindi kigumu sana haijawahi kutokea
Mfano kile kipindi Cha economic hardship (great economic depression).... nadhani...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa Klabu ya Yanga kujipaka Bleach kwenye mechi ya Jumamosi.
Ali Kamwe amesema,
"Mtoko wa Jumamosi ni PACOME DAY...
1. Ni mbaguzi wa Wachezaji
2. Alimkataa Clement ( Warid ) Mzize asiichezee Taifa Stara kwakuwa tu alikataa awe Wakala wake
3. Ni Mtu wa Majungu, Mfitini na Muongo
4. Amechangia pakubwa kwa...
Nimepenyezewa za chini chini kuwa mnashindwa Kumfuta Kazi ( Kuachana nae mazima ) kutokana na Madudu yake aliyoyafanya AFCON 2023 Ivorry Coast na yale mengine aliyoyafanya hapa hapa Tanzania...
Hizi timu za Simba na Yanga zipate matokeo au zikose siku zote lawama Ni Kati ya hizi:
1.Upangaji matokeo
-Utaskia wale wameshinda kwa sababu timu waliocheza nayo wamewapa kiasi fulani Cha pesa...
Walaumiwe kwa kushadadia makosa refa yakukataa goli la APR, kati ya Mlandege na APR. Walaumiwe kwa kuonyesha kipa SINGIDA akidakia nje, kati ya Simba na Singida. Mwamuzi alitafsiri kama kona...
Hawajui lolote, zaidi ya kuleta taharuki Tu, wanajifanya kuchambua hata maamuzi ya marefarii Kwa mareo ya picha Tu!! kitu ambacho sio sahihi. Ongeza matangazo ya biashara.
ALLY KAMWE: SISI SIO LAST BORN,WALETE NA MECHI ZAO TUWACHEZEE..!!
"Kama mtu anadeka deka, anataka viporo, anaona hajiamini, fursa ipo sisi tutatwanga pia na mechi zake"
"Kama anaona anabanwa...
Hivi ni kwanini lakini Viongozi wa Yanga SC hupenda Kuwadanganya Mashabiki wa Yanga SC na kuwaona ni kama vile hawana Akili na siyo Watu wanaopenda Kufuatilia mambo / masuala mtambuka ndani na nje...
John Nobble golikipa mnaijeria aliyefunga safari kutoka kilometa nyingi jimbo la Abba yalipo makao makuu ya timu ya Enyimba mpaka kwa warina asali wa Tabora united kaniachia maswali mengi sana...
Naibu Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (MwanaFA), amewaomba mashabiki wa Simba na Yanga kuungana pamoja katika kuziombea timu zao kuelekea mechi zao za Ligi ya...