PIERLUIGI COLLINA kitu ambacho hatasahau zaidi kwenye kazi yake u referee: "Tulikuwa katika dakika mbili za mwisho za fainali ya Ligi ya Mabingwa na niliwaona wachezaji wa Bayern wakiwa kwenye...
Sina undugu na Mudathir ila hiki ndicho viongozi wa Simba SC wanapaswa kukifanya mapema
Jamaa Yuko vizuri ni Mmoja kati ya viungo wachache wanyumbulifu hapa nyumbani
Sina mengi mimeona niilete...
Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho.
Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye...
[emoji599] TIMU ZENYE MASHABIKI WENGI AFRIKA
Al ahly.............70million fans
Young Africans..35million fans
Zamalek.......... 30 million fans
Laizer chief .......16million fans
Asec...
Katika soka, mfungaji wa goli mara nyingi ndio humiminiwa sifa na kuonekana ni bora, ila ukweli wanaotoa assist mara nyingi ndio hufanya kazi kubwa kumfikishia mpira mfungaji ila anaesifiwa siku...
kwanza hongera sana kwa juhudi zako uwapo uwanjani.ongeza sana bidii kwenye shooting accuracy na stamina ya kukimbia uwanjani,utafika mbali sana.pia nakushauri fedha unazopata usizichezee,jitahidi...
Kumbe bado wapo mashabiki wenye uelewa .
Nenda Instagram kwa maelezo zaidi .
Nafikiri pamoja na kuto perform pyramid mayele Ana frustration na ile mechi ya Tanzania v DRC alikamatwa vizuri na...
Unacheza mpira bila umakini wowote ule,mradi unapangwa kucheza badi we unacheza tu.
Mechi moja unacheza vizuri me hi nyingine unacheza vibaya. Leo umecheza hovyo kabisa, umekosa magoli kijinga...
Sisi wanalunyasi tumuombe msamaha Chama. Nikikumbuka tuliporusha mate mengi kuwapongeza viongozi na kocha kumkataa Chama na kuanza kumsiliba na kumbagaza vibaya kuwa hahitajiki. Na sisi...
Tulisahau kukuwish tarehe 13 tulikuwa na mambo ya msiba.
Heri ya kuzaliwa kwa mwamuzi bora zaidi katika historia ya soka Ulimwenguni, Pierluigi Collina ametimiza miaka 64 leo. 🎂🇮🇹🤝
Mwamuzi huyu...
Mdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti...
Zipo habari kuwa mshambuliaji Gwede wa Utopolo amelalamika kufanyiwa mambo ya kishirikina na wenzake kambini na kumfanya aonekane butu, Gwede analia kuwa kwenye mechi haoni vizuri goli, lkn kwenye...
Si mchezaji mbaya, ila kuna mambo kadhaa anayoyakosa na kumfanya kuwa inexperienced player, ila kama angeweza kuongeza juhudi huenda angeonja ladha ya michuano mikubwa ya CAF pengine kutwaa japo...
Azam media wameweka magoli yote mitandaoni, nimepata wasaa wa kuangalia goli la Yanga dk ya kwanza kilichofanyika ni match fixing ya wazi.
Angalia video kwa umakini na kwa slow motion, beki wa...
Nilibahatika kuona mechi zote mbili za RC belouizdad na Al ahly ni Mechi za michongo
Mechi za mikakati
Sio kwamba belouizdad wana timu nzuri kivile
Even ile mechi yao na yanga ni mistake ya yanga...
Tokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa...
Beki wa Manchester City, Kyle Walker, ameiomba radhi familia yake kwa kufanya uamuzi wa ovyo kufuatia wiki kadhaa za tetesi kuhusu usaliti kwenye ndoa yake.
Mchezaji huyo ameliambia gazeti la the...
Nimeangalia mpira leo na JKT hadi natamani kuivunja TV yangu kuwavaa wachezaji na Benchika mwenyewe.
Kiwango ni kibovu sana, niliona tangu Kigoma, Tabora, Mwanza na leo pale jeshini mimi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.