#NBCPL: Nyota wa Simba SC, Clatous Chota Chama ameshacheza mechi nne za NBC Premier League, tangu arejee kutoka kwenye michuano ya #AFCON2023 iliyofanyika nchini Ivory Coast.
Katika mechi hizo...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imetangaza kuahirisha mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar uliopangwa kuchezwa Februari 18, 2024 katika dimba la Jamhuri Morogoro.
Kwa mujibu wa taarifa...
Jana nilipata bahati ya kushuhudia Nusu Fainali pamoja na Fainali ya mashindano ya Draft yaliyofanyika Kinondoni - Manyanya.
Washiriki walikuwa 32, na walioingia nusu ilikuwa:
Ronaldo vs Saia...
Mshambuliaji wa Chelsea, Raheem inadaiwa amekataa ofa ya kwenda kucheza Soka Nchini Saudi Arabia ambapo aliahidiwa kulipwa takribani mara tatu ya kiasi anacholipwa kwa sasa.
Ikiwa angekubali ofa...
Match Day!
JKT Tanzania, Wanaialika Simba SC leo kwenye uwanja wa Mej. General
Isamuhyo, -Mbweni Dar es Salaam.
Mechi itachezwa Majira ya Saa 10:00 Jioni.
Jkt wanaingia kwenye huu mchezo wa...
Beki kitasa cha Simba aliyeng’ara na DR Congo kwenye Afcon, amefanya uamuzi wake kimyakimya na akapiga kimya vilevile.
Na uamuzi huo unamaanisha kwamba atakuwa ndani ya jezi ya Simba katika mechi...
Mtangazaji maarufu wa kituo kikubwa kimoja hapa town wasafi ..... Oscar Oscar amependekeza uwanja mpya utakaojengwa na wananchi uitwe 5_1 Stadium
Mnasemaje kuhusu suala hili la kizalendo ...ndugu...
Mamia ya washiriki wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon zinazotarajiwa kufanyika Jumapili ijayo, leo walijitokeza katika viwanja vya Mlimani City kuchukua vifaa vya...
Sebastian Haller, mshambuliaji wa Ivory Coast aliyefunga magoli muhimu katika mechi za mwishoni zilizoipa Ivory Coast ubingwa wa AFCON 2023 amerudi kwenye klabu yake ya Borussia Dortmund na...
Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo.
Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na...
Moja ya mameneja mwamba sana na waliokuwa very strategic miaka ya 1990 pale unyamani ameumaliza mwendo leo.
Simba ile ya akina marehemu Ramadhan Lenny, Edward Chumilla, Rafael Paul, Mosses...
Naomba kujuzwa na Wabobezi, kwani katika Mpira wa miguu, safu ya ulinzi inaundwa na wachezaji gani? Na je, goalkeeper ni sehemu ya safy ya ulinzi?
Nauliza hayo Kwa sababu imekuwa ni kawaida Kwa...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeipiga faini ya milioni 1 klabu ya Simba SC kwa kosa la mashabiki wake kumwaga vitu vyenye asili ya unga katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kabla ya...
Raisi wa CAF kasema kuna pesa zinatolewa kwa ajili ya ukarabati wa miundo mbinu ya soka Africa,
Najiuliza nchini kwetu kuna ukarabati wowote wa miundo mbinu uliofanywa na TFF!
"Tumeshachoka sasa na hii tabia ya Uongozi wa Singida Fountain Gate FC ya kila mara kubadili Jina la Timu, kuhamisha Timu kwenda Mikoa mingine na kufanya Biashara kimya kimya ambazo hazileti Tija...
Singida Fountain Gate FC ipo nafasi ya sita na alama zake 16 baada ya michezo 16! Mwendelezo wake umekuwa si mzuri inawezekana hii ni baada ya kuondeokewa na nyota wake kadhaa waliojiunga na Ihefu...
MWENYEKITI wa Kamati ya Waamuzi, Nassor Hamduni, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa wamesikia kilio chao dhidi ya mwamuzi Ramadhani Kayoko na jambo hilo litakwenda kufanyiwa kazi na...
Yupo striker mmoja anaitwa Bakambu, ana macho kama ndula, ukimuona Bakambu alivyo unaweza sema leo kazi ipo, ni striker ambaye ana kiwango cha kawaida mno lakin kocha wa DRC alikuwa akimpanga kila...
Mchezaji wa Yanga Africa, Shomari Kibwana ametozwa Faini ya Shilingi Milion Moja kwa kosa la kuonekana akiondoa taulo la Mlinda lango wa Klabu ya Mashujaa Lilikokuwa limewekwa Pembeni ya Lango...